Ni kutokana na wanafunzi hao kutopata pesa zao za kujikimu kutoka bodi ya mikopo.wanafunzi hao Hasa wa mwaka wa Pili ambao toka waanze semester hawajapata mikopo yao.hiv sasa wanaishi kwa neema...
mm ni mwanafunzi ktk chuo kimoja wapo kilicho chini ya wizara ya maliasili na utalii na 23 -dec-2013 matokeo yalitolewa bila kupitishwa na bodi ya chuo.
sababu iliyopelekea matokeo hayo...
Mimi nimekuwa nikifuatilia vipindi mbalimbali vya kuelimisha pamoja na vile vinavyo ruhusu watazamaji kuchangia kwa kuoiga simu
Kero yangu ni kuwa;
kUtumia simu moja kupokea wakati una watazamaji...
Wakuu matokeo ya CPA inasemekana yatatoka kesho mchana. Kwa kuwa kawaida yanatakiwa yatoke alhamisi ama ijumaa ya wiki ya mwisho lakini habari za ndani zinasema yatatoka leo kwa kuwa taratibu zote...
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo
Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu walimu waliomaliza masomo yao na kutopangiwa vituo vya kazi kuwa muda wa kufanya hivyo bado.
Akizungumza...
habari zenu
Tafadhari kwa mtu yeyote anayehitaji msaada katika hayo niliyoytaja hapo juu asisite kuwasiliana nasi tutampatia msaada bure. tutatoa ushauri kuanzia hatua za awali za kuandaa...
Guys nimekua nikisikia habari za samaki mtu tokea nikiwa mdogo nikawa interested kujua ukweli, nimefatilia lkn jibu sahihi kama duniani kuna kiumbe wa aina hio bado ni utata mtupu.. Naomba...
Wadau wa JF wale ambao mmepitia vyuo vikuu vya nchi hii,hivi huu ukiritimba unaofanywa na vyuo vikuu almost vyote vya nchii hii katika kutoa vyeti pindi umalizapo chuo umekosa dawa kabisa!maana...
Wakuu habari zenu. Eti kwa mfano mtu unataka kuwa rubani na hali ya kimaisha hairuhusu, lakini duluhisho lipo la kupitia jeshini ili kupata mafunzo, inakuaje? Je unajiunga moja kwa moja na kikosi...
Kijana Shadrack kifaru ana shida kubwa kwa sasa wazazi aliokuwa akiwategemea kwa ajili ya kumsomesha wapo hoi kwa maradhi wote kwa pamoja mama yake mpaka sasa amelazwa muhimbili mwezi wa tatu...
The Mwalimu Nyerere Memorial Academy.
This college is highly and sporadically coming up at a high speed and soon it will be in the world calender of universities.
GIVE IT EVERY SUPPORT THAT YOU...