habari yenu gr8t thinkers mimi nlichaguliwa SUA 4th round lakini baada ya kwenda kureport nkaambiwa deadline imeshapita,nkaamua kurudi nyumbani baada ya hapo kuna m2 akanambia inabidi nkareport...
*CAREER SUPPORT SERVICES*
DEAR SUPER APPLICANTS,
HOW DO YOU GO ABOUT GETTING YOUR DREAM JOB?
In the last ten years in Tanzania we have been involved in staff
recruitment exercises and...
* GUIDE to running a BUSINESS like a PROFESSIONAL*
Hello,
We hereby present to you our book manual (available in English & Swahili) named above, which is a well written guide to running a business...
Embassy of Finland in Dar es Salaam
Are you interested in Development work? Determined to work for positive social change? Want to study in an international atmosphere with people from all over...
Kusoma ni safari ndefu inayohitaji uvumulivu, nidhamu na kujitoa! Lakini mwishowe hayo yote huwa historia badala yake ni sherehe tu kama ilivyo siku ya leo kwa baadhi ya wanafunzi wa sekondari na...
Kuna huu unafiki wa wazazi kuwadanganya watoto wao eti wakati wanasoma wao walikuwa wanakuwa wa kwanza darasani, mimi wacha niwe mkweli, nilikuwa nashika nafasi za mkiani darasani nilipokuwa...
ni week ya 3 sasa tangu majina ya waliokosea kujaza forms yametoka kua tutapata mkopo lakini sioni kama kuna ufatiliaji wowote ule, kila ukimuuliza loan officer wa hapa chuoni anadai pesa zetu...
Baada ya muda wa kawaida tuliozoea wa kupokea mishahara yetu kupita hatimaye mshahara umeingia ila cha kushangaza ni kitu kimoja na ningeomba na walimu wengine mlitazame hili ili tuweke kumbukumbu...
Hadi sasa ni miezi kadhaa imepita toka semester ya masomo ya 2013/2014. Cha kusikitisha ni kuwa wanafunzi wa postgraduate (uzamili na uzamivu) katika chuo kikuu kimojawapo hapa Dodoma hatulipwa...
Nyangoro Indicted in Probe of Academic Fraud Julius Nyangoro, one of the focal points of an academic scandal that spun off the NCAAs investigation into UNCs football program, was indicted...
Mwaka wa 3 hamnipi mshahara wangu na nilitimiza vigezo kwenda masomoni na kila nikifika hapo kwa mkurugenzi makarani wanasema ataitwa afisa utumishi na Deo,Msitumie ubabe pasipostahili...
Habari wana jf! Mimi ni mwanafunzi wa shahada ya uzamili katika lugha, katika chuo kimojawapo nchini. Nafanya utafiti mdogo katika "Maasai Nominal Morphology"( kama hujui hii terminology...
Chuo cha utumishi wa umma tawi la Mtwara chasimamisha wanafunzi wake kimasomo kwa muda wa mwaka mmoja wakiwemo wawili waliokuwa semista ya mwisho kwa kosa la kukutwa na chabo ndani ya chumba cha...