Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jamani hapa Chuo kikuu cha RUCO Iringa kuna lecturer fataki,anatembea ovyo na mabinti,anawafelisha wanaomkataa,anachuki na wanadarasa,TUPO KWENYE MKAKATI WA KUMTOA.HATUMTAKI.
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Zaidi ya wanafunzi 500 wa udsm wamedisco ktk mwaka huu wa masomo huku wengine zaidi ya 9000 wakitakiwa kufanya mitihani ya supplementary.mpashaji wangu wa habari,amenidadavulia idadi ya waliodisco...
1 Reactions
199 Replies
25K Views
msaada juu ya mada tajwa hapo juu .:help:
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Salam kwenu wote; wakuu naomba kufaham chuo gni hapa bongo naweza kupata Master ya (BIT) Bussiness Information System;; thnx.
0 Reactions
0 Replies
636 Views
Hivi kuna ukweli kwamba mtu akiwa amepata chuo hajaripoti na alikuwa amepata mkopo100%.kwamba akija kuapply mwakani asahau kupata mkopo tena. MSAADA WADAU
0 Reactions
0 Replies
740 Views
For people who are in Dar es Salaam and wish to study Mathematics at home, this goes for; 01. A-level Mathematics/Pure Maths. 02. O-level Mathematics/BAM 03. QTs and all who take Maths related...
0 Reactions
0 Replies
642 Views
Aliyewahi kuwa makamu mkuu wa kwanza wa chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo (SUA), chuo kikuu cha Dar es salaam, chuo kikuu huria cha Tanzania na Provost wa chuo kikuu cha Tumaini tawi la Dar es...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello! Guys,plz I wanna know the countries which are originated in Tanzania and have branches in other countries...
0 Reactions
2 Replies
915 Views
Nimechaguliwa hii programe ila cjui chochote na prospectus ya udom inazingua. Naomba ufafanuzi kuhusu bcom in finance course gani ziko ndani yake, soko la udom kwenye hii programe na ukimaliza...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mwezi uliopita (Mwezi October) walimu wanaofanya kazi wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro walichelewa kupata mishahara kwa wakati waliouzoea. Kwa kawaida huwa wanapata mshahara kati ya tarehe 25...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta mwalimu wa kufundisha tuition form three na form four masomo hayo hapo juu aliyepo Dar es salaam.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
The top 10 most-educated countries are: 1. Canada 2. Israel 3. Japan 4. United States 5. New Zealand 6. South Korea 7. United Kingdom 8. Finland 9. Australia 10. Ireland chanzo. And the...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ndugu wana JF. Napenda kufahamu muundo wa kamati ya kuchambua barua za watumishi wanaohama mikoani. Kamati hiyo huundwa na watu wangapi na wenye nyadhifa zipi serikalini? Nawasilisha.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarii wana jamvi..Leo nimeona tujalibu kufunguana mawazo juu ya dalaja C vyuo vikuu Tz. Hili suala tunaliona dogo lakini linamghalimu mtu mmoja mjoja huko mtaani, Wakati tukipitapita na bahasha...
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Wadau kwa mwenye kufahamu chuo chochote chenye kutoa elimu ya PROPERTY MANEGEMENT IN REAL ESTATE, kwa Tanzania,nijuze tafadhali .
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu heshima kwenu, naomba kujuzwa wizara ya elimu imepewa asilimia ngapi ya burget ya tanzania? Naomba pia kama kunaanaejua wizara iliyopata asilimia kubwa zaidi ya zote. Nawasilisha.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tuko hapa Halle (wanafunzi wa Shahada ya Uzamili wa UDSM) Ujerumani katika Tamasha la Wasomi mbalimbali.Katika Tamasha hili,Wahadhiri na wanafunzi kutoka UDSM wamefanya 'presentations' katika mada...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Naomba msaada wanajamvi, hasa wazazi wenzangu. Ninatafuta Nursery School/Preschool nzuri kwa ajili ya mtoto wangu wa miaka miwili na nusu (English medium) Ninaishi Mbezi Beach - DSM. Ninatanguliza...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
heshima kwenu wanajamiiforums! Nina ombi moja kutoka kwenu. Mimi ni mwanafunzi 2nd year katika chuo kimoja jijini dsm. Nikiwa natarajia kufanya project 3rd year naomba mnieleze jinsi ya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…