Makamu Mkuu wa chuo wa chuo kikuu cha Dar es Salaam Prof Rwekaza Mkandala amekiri wazi kuwa katika jambo ambalo ameshindwa kulitatua ni malazi ya wanachuo wa wanaodahiriwa katika chuo hicho. Prof...
Poleni na kazi wapendwa.! sitaki nimlaum Mungu wala yeyot kwa hivi nilivyo.,nimezaliwa miaka zaid ya 20 iliyopita nikiwa ni mtoto niliyetokea katika familia ya kmaskn sana,nilifanya mtihan wa drs...
wadau naombe ushauri,matokeo yangu ya O'level hayakuwa mazuri kwan nilipata D mbili,nikajiunga na vyuo vya ufundi na sasa nimeshamaliza iyo kozi ya ufundi..sasa nataraji kutafuta kazi..je kwa...
mods iacheni hapa hapa. mpwa wangu karudi nyumbani na kulalamika kuwa wamefanya mtihani wa darasa la 4 wa kifaransa wakati hawajawahi kusoma hata mara moja. hivi wakifeli tutawalaumu hawa watoto...
Tuliambiwa kuwa Majina ya waliorekebisha fom zao Heslb yatatoka kuanzia tarehe 8.november lakini hadi leo hakuna jina hata moja lililotoka.Kuna vyuo vingine watu wamesain na tayari wameshaingiziwa...
Igweeeeee!
Kesho itakuwa ni siku ya tatu na ya mwisho ktk ratiba ya kufanya masomo mawili yaliyo baki ambayo ni tehama na kifaransa.
Ufuatao ni utabili wa jinsi itakavyo kuwa ktk...
nimecancell
Kwanza naomba mtu yeyeto asiendelee kuchangia hii post, Mwanzishaji wa hii post nimeshajitambua.
Pili nawaomba msamaha walimu wangu wote niliowataja kwenye hii post kwa usumbufu...
Wakuu,
Habari za kazi na habari za jioni.
Naomba kila mmoja wetu na kila Mtanzania apate nafasi ya kuingia kwenye tovuti ya baraza la Mitihani la Taifa www.necta.go.tz na kuangalia matokeo ya...
EFD Machines: Ndg Wananchi.... sina hakika kama kweli sisi ndiyo wenyenchi!Hakuna kitu kinaniuma kama kupata kwa jasho kali (Serikali kukamua walipa kodi) na kisha kutumia kwa...
MAHAFALI YA 43 NA SHAHADA YA JUU YA HESHIMA Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Kampasi ya Mwalimu Julius Nyerere Mlimani kinapenda kuwataarifu wadau wa Chuo na umma kwa ujumla kuwa kinafanya Mahafali...
leo hii watanzania wengi hawajui ni nini hatima ya maendeleo ya elimu katika taifa lao,nimejaribu kufuatilia kwa umakini kwanini kila kukiitwa leo sera za elimu na viwango vinabadilika .Kumbe...
Kufanya Appeal ya Loan Heslb ni ni sawa na kujisumbua na kupoteza 5000 yako?? Naomba msaada kwa walio na uzoefu mana Hapa MUCE rais wa DARUSO ametukatisha tamaa...!!