Ivi serikali inafikiria nini kuajiri walimu wapya waliohitimu mafunzo ya ualimu kutoka mwezi wa tano hadi Leo na huku ikilalamika upungufu wa walimu wakati wataalum hawa wapo mtaani wakiwa hawana...
Wana jamvi naomba msaada ni jinsi gani ya kuweka picha ktk habari, mfano matukio ya ajali, mikutano, au picha ya mtu.elimu haina mwisho, natumia simu (application)
Ndugu watanzania, jitahidi kugawa elimu yako ktk sehemu kuu tatu;
(i) kazi za mikono; eneo hili ni vizuri mno, ukafanya kwa kutumia elimu uliopata darasani na si nadharia tu, hapa inamaana hivi...
Napenda tenah kuchukua fursa hii kukupongeza ewe loan officer wa sua,brother sam,kwa kazi kubwa unayofanya ya kujitoa kusaidia matatzo ya wanafunzi,nikiwa mmoja ya wanafunzi uliowasaidia nashukuru...
TANGAZO
MSAKAMALI INSTITUTE OF BUSINESS STUDIES AND TECHNOLOGY
(MIBST)
Nafasi za masomo kwa mwaka 2014
Chuo kinatangaza nafasi za masomo ya uhasibu, maendeleo ya jamii na utawala...
Elimu yangu ni form four nimemaliza 2008 kutokana na ukata sikuweza kujiendeleza na kisomo ila kwa sasa nimeona kuwa kuna upungufu mkubwa sana kwa walimu shule za msingi nimeona nijaribu tena...
Habari wana jamii
....kuhusu Ku appeal loan inakuaje inaleta only personal details? Hailet sehem zngne za kujaza,naomba kujua kuna tatizo gani au nn kinaendlea...
Tafadhar jaman nlikuwa naomba kujua kuhusu hii course ya intermediate accounting ipoje na ugumu wake pia na nifanye strategies gan kuhakikisha nafaulu vzur hii course. Asanten
Naomba kujuzwa kuhusu grade za watahiniwa binafsi(private candidates) je zinahesabiwa sawa na school candidates au kunautofauti katika ugawaji wa Hizo alama.
Wataalamu wa luga naombeni msaada wa maana ya neno Administrating na Managing, halafu kama zipo tofauti niambie utofauti wa mwanachuo anayesoma IFM kozi iitwayo Bachelor of Tax Management na huyu...
Wakuu,anaitwa Luteni Ntwa,alikuwa officer in command wa F Coy na mp commander.Amefariki dunia kwa maradhi ya ini usiku wa kuamkia leo hospitali ya Ocean Road D`salaam.Waliokuwa kikosi cha jeshi...
Napenda kutoa pongezi ya dhati kwa pm sua,kwa jitihada anazofanya kusaidia wanafunzi mbalimbali wenye matatizo mfano-shida ya mkopo na walikuwa na shda ya kuhamishwa course....
kwa jinsi #OXFORD wanavyozdi kutawala Soko la Vitabu,
O-level Wanazid kuumia hasa #KATA , kama ifuatavyo
1. vitabu vya O-level kutengenezwa na #wazungu , yaani wao wamekuwa wakifananisha...
Uongozi wa shule ya Alfarouq Islamic Seminary ya Tabata Bima Dar es Salaam,unatangaza nafasi za udhamini wa masomo ya kidato cha kwanza 2014,kwa wanafunzi wa KIUME waliomaliza darasa la saba mwaka...