WAZIRI PINDA APEWA SIKU SABA ATOE RIPOTI YA TUME YA KUCHUNGUZA UFELI WA KIDATO CHA NNE CHA MWAKA JANA.
kuna tamko ambalo mtandao wa wanafunzi nchini "TSNP" wAKISHIRIKIANA na uNIVERSITY OF DAR...
The most sought after particle in modern physics, the "God particle" has been confirmed..!
here is the link: DISCOVERY OF THE GOD PARTICLE - HOW SCIENCE
Katika kuakikisha Tanzania inafanikisha malengo yake ya kutoa elimu bora kwa wananchi wake , ni jambo gani linafaa kurekebishwa ili vijana waweze kupata elimu ya kuwakomboa kutoka kwenye utumwa wa...
Whether youre eating at home, dining out, or having dinner with friends, good table manners for kids are an important part of every meal. When you teach your child good table manners, you are...
Waalimu wote tanzania mnaalikwa kujiunga na group yetu Facebook, Inayoitwa TANZANIA all TEACHER "STARS" Lengo ni kubadilishana kmawazo kimaendeleo, kubadilishana vituo vya kazi na kuendeleza...
Kiukweli wale tuliofanya transfer ya vyuo bado hali yetu ni ngumu. Pesa hakuna. Hatuelewi ni lini hizo pesa zitaletwa kwenye vyuo tulivyopo. Mwenye updates za hili suala anijuze please..
mm ni continious student nko mwaka wa pili. nliomba mkopo ile first year nikawa nmepata bt wakati wa kuapdate mkopo kuingia mwaka wa pili nliapdate toka ule mwez wa 5 bt Juz kati hivi kna majina...
IFRS & IAS presentation prepared by Delloite in a very presentable manner
Humo utakutana na mifano, Coaching, references.. maswali mengi ya kujifunza na kukusaidia kuijua kila standard kwa kina...
heshima kwenu wanandugu...
Nayapenda sana maisha yangu na ninapenda sana nifanikiwe maishani hivyo sina budi kufanya hivi ili kusonga mbele. mimi ni mwanachuo katika chuo mojawapo hapa tz na...
Wadau mbalimbali wa elimu wamefananisha alama na viwango vipya vya madaraja kwa shule za sekondari na tangazo la Airtel Money 'Hakatwi mtu hapa' kwa kusema alama hizi ni sawa na serikali kuwaambia...
ikiwa wanafunzi 1,121 waliofanya marekebisho mbalimbali wakisubiri kwa hamu kujua nini kitajili ila kutoka jikoni ni kuwa watatoa baada ya siku 3 (tatu) kikubwa ni kuomba sana Mungu ili...
Dah leo nikiwa napanga panga vitabu vyangu nikakutana na riwaya za Musiba na nikaamua kusoma moja ya Riwaya za zaman za A.E. Musiba na mpelelezi mashuhuri Willy Gamba. Kweli Nyakati zimebadilika...
Ndg zangu ni aibu sana kwa UDOM kutota2a matatizo ya wanafunzi wake,2nahtaji kupata wataalamu wenye vigezo na uzalendo waku2mikia Tanzania.Kwa hli la BED PPM mwaka wa pili na watatu kutopewa...