imekaaje hii neema wadau wa sua- kwanzia walio mwaka wa kwanza hadi walio mwaka wa nne wanaochukua irrigation and water resources engineering kwa mwaka wa masomo 2013/2014heslb imewalipia ada 100%.
Hello, .....calling on professionals, graduates and college students
MEGA Kijana Foundation based in Arusha came into existence in 2013 primarily as a Movement for Education and Growth Action...
Jamani wadau hapa nilipo nasikiliza wapo radio FM
Kuna jamaa anaelezea kuhusu chuo cha urubani, kinaitwa Tanzania aviation university college kipo Tabata Magengeni.
Wenye taarifa kuhusu hiki...
RUNNING YOUR BUSINESS LIKE A PROFESSIONAL (The Eight Steps) is a new addition to the book manuals from Magna House of Solutions. It is available in both English and Swahili. Get your copy NOW!
We...
mimi ni kijana wa kiume umri ni miaka 22.ninaishi na mama yangu kwani baba alitangulia mbele ya HAKI miaka mingi iliyopita pindi nikiwa darasa la tatu.Nimeishi na mama yangu kwa muda wote na...
Mimi ni mmoja ya wanafunzi waliochaguliwa na wizara ya afya kujiunga na chuo cha utabibu kilosa na bado sijapata joining form.naomba yeyote mwenye mawasiliano ya kiongozi yeyote wa hapo chuoni...
Habari wana jamii.naomba msaada kwa anayeweza kurecomend shule nzur kwa boarding fm 1 na darasa la kwanza.wote wamesoma english medium primary na nursery.Natanguliza shukurani
Masturbation is the stimulation of one's own genital area to the point of orgasm.
It is a topic often discussed in whispers simply because it is about sex. What makes it more taboo is the fact...
Mwaka jana TCU walinitupa kwenye kozi ambayo sikuichagua bachor ya IT chuo I.F.M,kweli haikuwa moyon kabisa na nimeamua kwenda kusoma Clinical medicine...Sasa ndugu wananiponda eti nimekimbia...
Waliochaguliwa round ya 4 na TCU kujiunga na vyu o mbali mbali nchini hatima yao kuhusu mikopo itakuwaje?mimi ni mmoja wao na niliambiwa kama sipo kwenye ile orodha ya waliokosea kujaza fomu...
Wanajamvi heshima yenu ndugu zangu. Sijaripoti chuo tangu kifunguliwe kwa sababu ya kutokua na mkopo sasa nimejichanga na raia mbalimbali wamesema watanisaidia nipate ya kusoma semister moja...
Ndugu wadau,
Naombeni msaada wa dhati kwa yeyote anayeweza kuwa anafahamu site for downloading free Accontancy books for free
nilikua na shida na vitabu kama:
1.IFRS Red Book Bundle (2013)...
Wakuu jamvini nina mdogo wangu ambaye yeye alibahatika kuwa allocated na mkopo lakini cha kushangaza hadi sasa kwenye majina yote ambayo yamepelekwa chuoni kwake hajabahatika kuliona akiongea na...
Wakuu habari zenu!
Nilikuwa na ndoto siku nyingi ya kusomea nje ya nchi hasa nchi za wenzetu za ughaibuni. Nimehitimu masomo yangu katika Chuo Kikuu Huria almaarufu kama 'OUT', na sasa nataka...
MADARAJA YA KIWANGO CHA UFAULU SASA NI SAWA
Serikali ilitaja madaraja 1 hadi 5 kuwa yatumike kutoa matokeo ya mitihani ya kidato cha nne. Madaraja hayo ndio yaliyokaa vizuri.
Madaraja ya...
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21, nasoma mwaka wa 3 kwenye chuo kikuu kimoja cha hapa mjini, nafanya shahada ya miaka minne, nimezaliwa na kukulia kwenye familia bora, tumezaliwa wanne na...
Habarin wana jf! mwezenu nilibahatika kupata mkopo toka heslb, tukiwa chuoni imekuja jana fomu ya wenye mkopo jina langu likiwemo tukaandika account no zetu but cha kushangaza imekuja fomu ya...