Wanajamvi nawasalim sana!
Licha na kutingwa na majukumu yangu ya hapa na pale naomba nitumie muda huu kumuomba makamu mkuu wa chuo kikuu (mother of all universities) udsm kuzui rushwa hii. Prof...
Mimi nilianza Chuo mwaka Jana course ya degree in education lakini mwaka huu Mzazi Wangu hakupenda nisome education Vipi wadau sasa hivi naweza pata Chuo kweli mana naona Kama nimechelewa japo...
msaada jamani kwa ELECTIVE COURSE kati ya hizi nichague ipi??
1.development studies
2.management behaviour3.introductory sociology
4.communication skills
Kwanza natanguliza shukrani kwako,
Kwenye loan allocation nimepata mkopo, na Jina langu lilikuwepo kwenye mbao za matangazo chuo,
Kwa sasa mkopo umekuja chuoni na wenzangu wamepata, mimi...
Nashangaa na ninazidi kujiuliza kila siku, JE ni nini hatima ya wale waliokosa mkopo ambao Form zao za kuombea mkopo hazikuwa na kasoro?
Je kwa wale walioandikiwa NOT ELIGIBLE wanaishia wapi...
Mungu hamtupi mja wake..hatimae afya wamenichagua katika coz ya dental laboratory technician ...kwa anaefaham inahusu nn na wapi ajira zake..pia mshahara naomba anipe dondoo kidogo
Wkt bunge limekaa ilipitishwa hoja ya kuwaangalia upya wanafunzi waliokosa mikopo kwa mwako wa masomo 2012/13 na likaamuru bodi kuwaangalia upya wanafunzi wanaoendelea na masomo na likaja na hoja...
Je mtu kama ali apply tcu akapangiwa chuo hakitaki , after that akatafuta chuo direct how can he tranfer his loan kwenda chuo alichokipata. .je inawezekana? Kama inawezekana inachukua mda gani?
habari wanajamvi, sijabahatika kutazama taarifa ya habari usiku huu ila kuna mtu kanipigia simu kaniambia kuna taarifa kuhusiana na apeal ya heslb kwaiyo mwenye taarifa kamili kuhusiana na ilo...
Leo nimekumbuka mbali sana baada ya kuiona picha yangu nikiwa Bagamoyo Sec School 1996-1999.Nimekumbuka mengi sana moja wapo ni ubabe wa Peter Naali.Ningependa tusitajane majina,ila mmoja wetu...
Habari zenu wasomi wetu
Hivi Kati ya physics na geography ni somo lipi unaweza kumshauri mtu kulisoma advance level??
Napiga PCB alaf kama physics haisomeki Kabisaaa kwangu...
ukishamaliza kugawa karatasi na kuhakikisha kila kitu kipo sawa waruhusu waanze kisha chukua kiti chako kakae nyuma kabisa ya darasa halafu toa tecno yako t605 anza kuchati au ingia jf usome...
Wanajamii swali langu ni kwamba Tunapoiangalia Nchi ya China tunaona inaongozwa kwa msingi wa chama kimoja (MONOPARTISM)
Swali:
CHINA IMEENDELEA KISIASA?
IS CHINA DEVELOPED POLITICALLY?
Nafahamu wengi wenu mnasubiria barua za kujiunga na chuo huku tarehe za kujiunga zikikaribia bila ya kupata taarifa zozote ni lini barua zenu zitatumwa kwenye maboksi yenu ya posta ili mfahamu...