Watanzania wenzangu hasa wadau wa elimu nchini habari zenu.......!
Awali ya yote nipende kumshukuru mwenyezi mungu muweza wa yote kwa kunijalia afya njema, amani moyoni ili kuwaandikia waraka huu...
Habarini wana jf, naomben Kufahamishwa siku hz utaratbu wa TCU na hesleb kutoa mikopo kwa wanaojiendeleza vyuo vikuu ukoje? maana nilisikia hapewi mikopo nowdays!!
Ndugu wana jukwaa. Napenda kufahamishwa endapo mtumishi wa umma amehama mkoa 1 na kwenda mkoa mwingine kufanya kazi ileile. Je, endapo siku za nyuma alikuwa na madai (mfano malimbikizo ya...
CREATE a brave new world for yourself
OPEN your mouth and speak your truth
UNMASK bullies and cowards
REPEL fear
ACKNOWLEDGE your own inner strength
GET into action
EMBRACE faith as your source...
Wakuu,
Kwa hakika tumetoka shule tofauti tofauti baina yetu kutoka sehemu mbali mbali za hapa kwetu Tanzania na hata kwa wale wenzetu waliopata neema ya kusoma nchi za nje tangu shule za msingi...
Nashangaa wiki ya tatu hii boom bado,wengine tumetoka nyumbani mzazi anajua tunapewa boom,leo hii wiki ya 3 bado hamjatupa,mnategemea nini?au mnataka mtudhulumu?au mnaingiza faida huko bank?mbona...
Ndugu wana JF. Napenda kufahamu kwa nini maafisa elimu wengi waliokabidhiwa ofisi wilayani na kwenye miji hapenda kunyanyasa na kuwaonea walimu. Kwa mfano mwalimu anaweza kumpelekea barua ili...
habar jf, naomba kujuzwa na hili. Wale tulioambiwa wakarudie kutuma maombi ya mkopo, mbona nikifungua hilo web yao haifunguki. Nimejaribu zaidi ya mara 5 kwa siku tano. Nini hasa tatzo
A variety of factors affects the brain drain of health care workers
Push factors endogenous to the healthcare system
Low remuneration levels
Work-related risks, such as exposure to...
Mi ni mwanachuo mwaka wa kwanza na shida ya kujua kati ya laptop aina izi yopi unanishauri nichukue kulingana na uzuii wake HP, TOSHIBA, DELL, ALCER. Samahanin kwa usumbufu wana Jf.