Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kwa mawazo yangu ninadhani mikopo ingetolewa kwa woote wenye sifa bila kujali yupo kazini au la.Kwa mfano mwl kipato chake hakimwezeshi kulipia chuo cha private lakini pia izingatiwe yupo kazini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi kuna usanii gani unaendelea ndan ya bodi ya mikopo mbona vijana wengi hasa mwaka wa kwanza wameandiki ELIGIBLE to get loan lakin sababu za wao kukosa ni uongo!hv taif letu linakwenda wap!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JamiiForums, natumaini kwamba ni wazima wa afya. Napanda jukwaani kwa msukumo nilioupata ndani yangu kuwafikishia ujumbe rafiki zangu, vijana wenzangu. Mimi ni kijana mwenzenu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa wale mwaka wa kwanza wa MUCE,naomba tuvumiliane maana pesa yenu ya BOOM ipo kwenye process! soon mtaipata! samahan kwa kucheleweshwa sana.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kuwa na vyuo vingi vya ufundi kuliko shule nyingi za elimu ya nadharia.wahitimu wengi leo wana shahada za elimu ya juu lakini hawawezi kufanya kitu chochote mtaani,kweli elimu ya kibongo...
0 Reactions
0 Replies
894 Views
Serikali imeiagiza Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), kuwapa wanafunzi 1,107 wenye sifa waliokosa mikopo kwa kutokidhi mahitaji ya Bodi, fursa ya kurekebisha makosa kwa kujaza...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Nna C ya eng, D ya civics, kiswahili, geography, na F ya maths, biology na history Certificate na diploma ya Records management
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Malalamiko juu ya MENEJIMENTI ya Chuo cha kumbukumbu ya MWALIMU NYERERE MALALAMIKO JUU YA MENEJIMENTI YA CHUO CHA KUMBUKUMBUKU YA MWALIMU NYERERE 1. SHERIA YA UANZISHWAJI CHUO Mh...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
NBAA wishes to inform its esteemed stakeholders and the general public that it has reviewed its syllabus for both Professional and Accounting Technician examination schemes. During its 158th...
0 Reactions
5 Replies
12K Views
hatimaye loan officer atoa tangazo kwamba mkwanja ulishafika chuoni kilichobaki ni kusaini mkwanja uingie kwenye akaunti
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kwanini wapewe waliokosea na priority tu wakati wengine wa priority wamesha pewa?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hawa ni vijana waliojizolea umaarufu mkubwa kipindi fulani humu jukwaani...kwasasa itakuwa wapo shule kwa hiyo hawaonekani tena...kumbe dawa ya watoto hawa ilikuwa ni shule tuuuu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
jamani wanajamvi napenda tufahamiane tunaosoma TEOFILO KISANJI UNIVERSITY,ebu tupia sifa walau moja ya chuo hiki.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji ushauri wenu!! Nna div 2.12 , nlisoma PCM !! Thanks
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Jamani naomba msaada ni vigezo vipi ndio. Vinawezesha kusoma degree??? Mi. Nina principle mbili na s moja.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii ni kutokana na mvutano uliokuwepo kati ya senate ya chuo na wakuu wa vitivo,itakumbukwa kwamba hao vijana walikua wamedisco toka matokeo ya semister ya pili ya chuo,lakn ikatokea kwamba senate...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
natafuta shule za o level za private ambazo bado hazijafanya interview kwa kwa ajili ya wanaotaka kujiunga form one,kwa yeyote anaejua majina ya hizo shule naomba anijulishe
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba kujuzwa na wataalamu wanaoelewa,vp hii programme inalipa mtaani?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wewe unaependa Stationery za bei rahisi,ogopa sana kitu inajiita SWAHIBA Stationery! Wafanyakazi wake hadi Bosi wao wote MATAPELI.Tafadhali,fuatilia maelezo yafuatayo ufumbuke macho. Nilienda...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…