Mda mrefu uwalimu umeonekana ni wa watu waliofeli mtihani na waliokosa mahali pa kwenda lakini nimefanya utafiti nikaona sekta ya afya ndo inaongoza kwa kuwa na watu wenye 0 na 4 katika mitihan...
kama umechaguliwa kusoma chuo cha muccbus na unaitaji chumba /getto au hostel ni Pm..
NOTE: muccobs hostel ni kwa wanawake tu, boys mnajitegemea/n'je ya chuo
Kazi ya Ualimu ni kama CHUMVI kwenye MBOGA mara zote haikosi lawama, ikizidi utasikia chumvi imezidi! ikipungua utasikia chumvi kidogo! usipoweka ndo kabisaa Zogo! Ishakuwa karaha sasa Wanafunzi...
HIZO NI PESA ZILIZOTENGWA ILI KUWAKOPESHA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU KWA WALE WALIOKOSA AWALI note kama hukupata incomplete application form na una vigezo mf,priority course,orphan and so far...
Habari wakuu.
Mimi naingia mwaka wa tatu (male), najua kupata chumba ni nadra sana Hapa UDSM hasa kwa wasio mwaka wa kwanza. Hivyo kama kuna mtu, either first year au mwaka wowote aliyepata...
room allocation UDSM zimetoka ingia kwenye account yako ya ARIS ujue umepangiwa wapi. jinsi ya kuingia ARIS, username, registration # yako, password, sirname yako, bt dont forget to change your...
Katika hali ya kushangaza mwanafunzi mmoja jina naliifadhi ambaye alifanikiwa kupata degree yake kwa mwaka mmoja Tumaini university kwa njia za rushwa amefanikiwa kupata admission Mzumbe Dar Campus
Wana jf nimepoteza mawasiliano na mwalimu tajwa hapo juu(FESTO NDUNGURU) Anafundisha wilaya ya Singida vijijin shule nimeisahau tulikuwa tunataka kuanza mchakato wa kubadilisha vituo vya kazi...
..watanzania hasa wale wa hali za chini tulishukuru kukuwa kwa sekta ya elimu hasa katika ngazi ya vyuo vikuu, ongezeko la vyuo binafsi lilipunguza idadi ya wanafunzi wenye sifa za kuendelea na...
Wadau naomba kujuzwa kama majina ya diploma in nursing, clinical officer selikalini kama yalishatoka, plz naomba nijuzwe,npo serious, nina mdogo wangu yupo kitaa ila aliomba.
Ilikuwa ni tarehe 09/10/2013 wakati wa kipindi cha AFRICA NOW. Pamoja na mambo mengine waliyojadili, Dr. Wilbroad Slaa aliulizwa swali na mtangazaji kuwa ni kipaumbele gani katika nchi ya Tanzania...
kkwa binadamu wengi hasa vijana damu huchemka.wengi mmetoka kwenu mmewaacha wapenzi ama wake.na kama unataka uhusiano kwa fresh students kua makini sana.unakuta wiki ya orientation kina dada...
Wakati leo dunia ikiadhimisha Siku ya Mtoto wa Kike, bado kuna baadhi ya jamii za Tanzania na Afrika kwa ujumla, hazijampa mtoto wa kike fursa zote muhimu ikiwamo elimu.
Mila na desturi za baadhi...