Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

habali wanajf,kwa wale wafanyakazi,wapita njia,wanafunzi wa udsm...hapa chuoni nimekuwa nikiwaona baadhi ya wazungu wakizungukazunguka maeneo ya chuo wengine wakionekana ma class wakipiga...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Tunashukuru sana kwa watanzania wote wanaoendelea kutuunga mkono na kuikuza meetnawe, shukrani pia ziende kwa Radio Free Afrika - Mwanza, Tanzania kwa kuona thamani yetu na kutuunga mkono katika...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
jamani kuweni makini na hii taasisi. msikubali kutoa pesa zenu za form bila kuwatembelea hawa jamaa ofisini kwao kujidhihirishia wenyewe kuridhika na huduma wanayosema wanaitoa. mimi binafsi...
2 Reactions
39 Replies
6K Views
Give me your offers incase unauza sehemu yako uliyopangiwa, either hall 4, 5 or 6. Ni PM if you have a reasonable offer.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mtu yeyote mwenye anayekifahamu chuo cha maji kilichopo Dar hapo ubungo kama siyo mabibo
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Vipi hawa jamaa mwaka huu hawatoi mikopo? Na Je, wale wa mwaka jana walipata au ndiyo walitapeliwa?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hali ya matumizi ya lugha ya kiswahili ilivyo sasa hasa kwa nchi ya Tanganyika, ambayo ndio inayotegemewa zaidi barani Africa kua ndio nchi inayoongea kiswahili fasaha, ipo hatarini hasa kutokana...
2 Reactions
29 Replies
7K Views
Jamani wadau naomba mnipe jibu. kwanini TCU iliikubalia st joseph campus ya arusha wakati hata majengo hayajatengamaa hostel hakuna na chuo kipo porini kweli dada zetu sikwamba watakuwa katika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
jamani tusaidiane naenda mipango leo nani mwenyeji yupo mipango dodoma tusaidiane plz@@0764933405
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Harakati madhubuti kujikwamua kupata chochote ili kuchangia gharama za masomo ya elimu ya juu hivyo basi waweza nisaidia kupata tuisheni fii kwa kupachesi kamjengo haka kwa bei nzuri na maelewano...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
niko njian naelekea dom@nani mwenyeji jamen ambaye yuko chuoni mipango tusaidiane plz 0764933405
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Namshukuru mungu kwa kuwa mzima kwani naamini nitaendelea kupambana ili nifanikiwe maishani. Nadhani hapa ndo mwisho wa elimu japo ninatamani kuwasaidia watoto wengi wa masikini wanaoteseka kwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
mission compleate on this Friday.
0 Reactions
33 Replies
3K Views
ndugu wana jamvi,mimi ni mojawapo ya watu waliokosa mikopo ya elimu ya juu.mwaka 2011,nilichaguliwa kujiunga chuo kikuu songea,shahada ya elimu.lakini niliacha masomo,baada ya kumaliza tu,semesta...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Nini maana ya Kufeli au kufa kwa moyo? (Heart failure) Na nini kisababishi? Ingawa inaweza kuleta maana hiyo Lakini kufa kwa moyo haina maana kwamba moyo umeshindwa kufanya kazi au umefeli...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nimechaguliwa aquaculture SUA na kwenye mkopo nimepewa fedha ya special facult requirement kwa kozi hii ntanunua nini msaada ndugu zangu nielewe
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Ndg zangu wana wanazuoni,pitapita ya website ya vyuo vyetu tanzania,nikawa nimeangukia chuo cha st joseph university branch of arusha,nikakuta tangazo LINALO RUHUSU WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Napenda kutanguliza shukrani zangu za za dhati kwa members wote,kwani kupitia safu hii nimefaidika na kuelimika sana nina shida,mwenzangu alimaliza kidato cha nne 2009 matokeo hayakuwa mazuri...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakati wa mabadiliko ya katiba za maisha ya wadau mbali mbali umewadia,wenzangu na mimi bize kukusanya nguo/pamba hata kama za kuazima ili mje mtumkomeshe vibonde,.atakayevaa nguo yake mpya siku...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
amini usiamini mwanzo ckupata mkopo.nimelogin uck huu mambo shwari.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…