Habari zenu wakuu,naomba kuuliza kwamba kama nchi za wenzetu kama vile Ufaransa (french revolution),Urusi (october revolution),uingereza (Chartism&luddism etc) zilifanya mapinduzi kutokana na...
Kuna taarifa zilizonisikitisha kidogo hivyo naomba kwa mwenye maelezo zaidi anielimishe.Wanafunzi wa shahada za sayansi waliosoma UDOM na kuhitimu mwaka jana wanapata shida wanapohitaji vyeti...
Jamani kuuliza si ujinga..Nimekuwa nikisumbuliwa na watu wengi juu ya neno "TRANSCRIPT"naomba kujua zaidi maana yake especially kwa wahitimu wa vyuo mwaka huu ambao hawana vyeti....
Mwenzenu tena basi oh mwenzenu sitaki oh mwenzenu tena basi sitaki ilinifanya nikakesha kama bundi nikatoboa oh sikulala one kali nikabamiza oh hata madem nikasau
aha nilishagombana chandi sana...
Hili ni swali linaniumiza kichwa maisha yangu yote kwa nini baadhi ya watu wamejaliwa akili sana wakati wengine ni mambumbu au wana uwezo mdogo wa uweelewa wa mambo? kielimu na hata kimaisha...
Mapema leo CBE wanatarajia kutoa matokeo ya special /supplementary,
Hii ni kwamujibu wa prospector ya chuo
Walengwa kaeni mkao wa kula, kwan inasemekana matokeo si mazur sana.
Source mimi...
Heshima Wadau..
Ni wapi ninaweza nikapata vitabu vyenye maswali na majibu ya mitihani kwa masomo ya Fizikia, Kemia na Baiolojia haya kwa takribani miaka 20 iliyopita?!
Nawakilisha...
imekua kawaida kwa wanafunzi vyuon kutembea na ma lecturer ili kutopata sup or kudisco hii hali inakera kwa wale ambao wanasoma kwa nguvu zao na kuhatarisha maisha ya vijana wengi ambao ni taifa...
kwa maelezo yaliyotolewa na makamu mkuu wa wa chuo kikuu cha dodoma (UDOM), anasema kuwa matokeo mabaya ya kidato cha nne na sita kimesababisha UDOM kukosa idadi ya kutosha ya wanafunzi kulingana...
Poleni ndugu zangu mliokosa mkopo hiyo ndio hali halisi ya Tanzania ila nina maswali kidogo kwenu,nani kati yenu amesoma shule za serikali toka chekechea hadi form six? kama upo na umekosa basi...
Shubiri mwitu (Aloe au Aloe vera) ni mmea ambao umekuwa ukitumika kwa kutibu magonjwa mbalimbali ya binadamu na mifugo. Mmea huu unatumika sasa kutengeneza sabuni, dawa za binadamu na wanyama na...
Msaada wadau. Hivi bachelor holder wa Engineering ni Mhandisi. Je Sisi wenye Diploma ni kina nani? Maana kwa Kiingereza ni Technician je Kiswahili chake? Pia waliotoka VETA ni kina nani? Maana...
baada ya uhuni wa HESLB kuandikia watu vitu vya ajabu mf.wale wa diploma na pia hawa wa direct entry(form six) kuwa incomplete form application huku wakisahau kuwa walitoa majina ya waliokosea na...
Wanajf please!naomba kuuliza hivi muhas wana second round application for diploma and advanced diploma kwa waliokosa nafasi baada ya selection?na kama ipo naomba kujua ni lini maombi hayo wataanza...