Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kwa waliomaliza certificate mwezi may mwaka huu! Walipotaka kujiunga waliambiwa watume maombi. Vijana walidownload matokeo wakaambatanisha vikapokelewa. Walipoanza masomo Chuo kikasema hakitambui...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
naomba tu kujua kuwa wizara ya afya itatoa lini majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo hivyo vya afya naomba msaada ndugu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jf nimepoteza mawasiliano na mwalimu tajwa hapo juu(FESTO NDUNGURU) Anafundisha wilaya ya Singida vijijin shule nimeisahau tulikuwa tunataka kuanza mchakato wa kubadilisha vituo vya kazi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, Dr. Joyce Ndalichako, Dr. Hussein Mwinyi, Dr. Mohamed Shein, Dr. Michael Kadeghe, Dr. Philemon Sarungi(Prof), Dr. Mgona sipakune Tulimumu, Dr. Maji marefu("Prof"), Dr...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Africa Climate Conference (ACC13) is organized under the auspices of the World Climate Research Programme (WCRP), the African Climate Policy Center(ACPC) and the University of Dar Es Salaam just...
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Karibu asilimia 30 ya wanachuo( udsm) walofanya mitihan yao ya supp/special wamejikuta wakidumbukia kwenye kiitwacho carry over,source; mmoja wa wadau wa mambo ya elimu
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Guys naombeni msaada wa mwenye kujua mahali pa kupata field kwa muda wa miezi 2,fani ninayoisomea ni electrical installation na nipo level 2,
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani mi nimekosa mkopo, lakini nimeambiwa na rafiki yangualiyekuwa amekosa mkopo kuwa amepata mkopo awamu ya pili kwa kutoa kiasi fulanicha pesa(ruhwa) kwa watumishi wa bodi.Je hii ni haki? vipi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
kwa wale wa mount meru university kuna room ya kukaa watu wanne karibu saana na chuo mimi ni mmoja wapo kwahiyo natafuta watatu wa kukaanao kwa maelezo zaidi nicheki kwa +255 767 182 142 sasa
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wadau wa jukwaa hili?? Baada ya habari embu leo naomba tuangalie haya mambo wanayofanyiwa watanzania wanzetu tena wenye uhitaji wa kupata elimu. Kwa kifupi tu nianze na...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Nitaandaa programu ya practical za kufoji kuanzia wiki ijayo, nahitaji vijana ambao wako serious maana nina muda mfupi mno wa kuendesha zoezi hili!! Kama upo tiyari niPM,.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wadau naomba Msaada Chuo kikisema admission criteria Yao ni 10+2 wanakuwa NA Maana gani? Msaada wa haraka unahitajika
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nahitaj kuachana na ndoto za engineering sio mchezo uko nina D ya phys,chem na mathe pia nina C ya bios na chet cha pre entry course in engineering pale DIT je ni chuo gan naweza kujiunga kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
You were not allocated higher education loan for 2013/14 academic year for this reason:ELIGIBLE FOR LOAN, BUT BUDGET EXHAUSTED kumbe nilitakiwa kupewa ila ela wameshagawana dah inaniuma...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Mimi siwaelewi kabisa. Hivi hawa vijana siwanatakiwa kwenda vyuo mwezi wa kumi? Au inakuaje hapo? Bora wangesema mapema kwamba kidato cha 6 wanapumzika mwaka hili kwenda JKT kuliko kuwagawa vijana...
1 Reactions
167 Replies
42K Views
Jama mwenye taarifa hizo hapo juu anisaidie kwan nahitaji nimepata nafasi ya kenda songea ila cjapata fees structure yao ilivyo please naomba msaada wenu
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Wana JF natafuta shule ya kufundisha (tempo) nimesoma masomo ya sayansi yaani PCB.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
hii ikiwa ni pamoja na waliofeli mpaka div 0.tembelea Jeshi la Kujenga Taifa
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Nitaandaa programu ya practical za kufoji, namaanisha kutumia njia fupi na ya uhakika zaidi huku ukiokoa muda wako kwenye chumba cha mtihani!! Hii ni kuanzia wiki ijayo, nahitaji vijana ambao wako...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama bandiko linavyojieleza
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…