Wadau mie nimekosa mkopo HESLB na Course ni Civil Engrng sasa nahitaji soma ila ndo hivo nisaidieni nichangie Tuisheni fii. kwa kununua ramani (Archtectural drawing) ya residential house yenye...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Nacte imewadanganya wanafunzi wanaotegemea kujiunga na elimu ya chuo kikuu
mwanzoni wanafunzi wenye diploma walipoanza kuapply kupitia Nacte walipewa matumaini ya...
Jamani naombeni kuwa shujaa wa kweli kudai haki yako nikiwa na maana unaweza kushindwa kusoma na vile vile hata rafiki yako akashindwa kwenda chuo sababu hana ada binafsi nimeliamulia hili swala...
Heshima kwenu wana JF,
Mosi,nianza kwa kuwapongeza wote waliochaguliwa kujiunga na masomo ya elimu ya juu.Wale waliokosa msikate tamaa tuko pamoja nanyi na jaribuni tena na tena...
Tukirudi nyuma wakati wa Mwl Nyerere elimu ilikuwa sawa kwa watu wote nikimaanisha wa mjini au kijijini, tajiri au mtoto wa mkulima. Hali hii iliwezesha wale wanaopata fursa ya kuendelea mbele...
Wakuu poleni na majukumu ya kila siku,
Mwenye material ya kozi ya Procurement and logistic management semester ya kwanza na ya pili naomba aniPM..
natanguliza shukrani.
SO ISOME HII INAKUSU MOJAKWAMOJA USILETE MAPUUZA WAZI?
IMPORTANT NOTICE TO ALL STUDENTS
PAYMENT OF TUITION FEES AND DIRECT COSTS:
ALL UDOM STUDENTS (FIRST YEAR AND CONTINUING STUDENTS) ARE...
Wadau naomba anayejua lolote kuhusu selection za tcu third round, nataka kujua kama wametoa majina ya waliochaguliwa
Au anayeweza naomba aniangalizie, namba yangu ni s1529 /0037/2010
Habari zenu wakuu,
Nilidakwa katika masomo kadhaa sasa nimeshafanua supp nasubiri matokeo, lakini naona mara hii hawa jamaa wameganda sana kutoa matokeo, mpaka ivi sasa sijaona ya kwangu na...
Habari zenu.
Nachukua fursa hii kuwaomba hawa matajiri wawili Tanzania na wengine,wawekeze kwenye elimu hasa kuwakopesha wanafunzi wasiojiweza ili nao waweze kusoma,Ni matumaini yangu wanaweza.