Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

jaman hv hz SFR je hizo pesa 2ta pewa cc au chuo,na je hizo kaz yake hasa n nini? coz me cjaelewa bado na mbona wengine hawajapewa mfano wa UDSM-BAED,naomben ufafanuz.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kama mada tajwa hapo naomba msaada ina maana gani kama field practical umeandikiwa 0
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jamani kuna hii course ya " Bachelor of Science in Wildlife Science and Conservation" hivi ipo vipi katika upande wa ajira tanzania?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Tafaedhali naomba msaada kwa yeyote anaejua site nzuri ntakayoweza kupata vitabu vya sayansi kwa ajili ya chuo anipatie.
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Makadirio bajeti iliyopita ilikuwa trilioni 15 kwanini serikali haikutenga angalau trilioni 1 kwa ajili ya mikopo ili vijana wetu wasome waje kulitumikia taifa kwa roho safi maana limewajali...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni lin HESLB watatoa majina ya continuing students wanaoendelea na mikopo??
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama wewe ni msomi na unapenda kujua mambo mengi yakisomi hebu pitia hii link hapo chini,Hakika itakusaidia kujua mambo mengi kama 1)Utaelekezwa namna yakuandika BUSSINESS PLAN 2)Namna yakuandika...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanafunzi wa chuo cha mwenge kesho wanaelekea dar kuongeza nguvu na kuhakikisha haki inatendeka.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani wanajamii utaratibu huu unaofanyika katika chuo cha UDOM siyo. Katika kwenda kuchukua vyeti hapo chuoni kuna tatizo ambalo limekuwa ni kero ambapo unapokwenda kuchukua cheti unaambia...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
jaman eti hela ya field pract and trainings huwa inatofautiana coz kuna watu wana 620000 na mimi nina 130000 yani sielewi wanaangalia kigezo gan kukupa hii hela!!!??
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama nlivosema hapo juu mi napata utata kuhusu hostel za pale chole je kuna list wametoa ambayo ina majina ya waliochaguliwa kukaa pale ? Mbona wakati wakuchukua admission letter hatukuambiwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mkurugenzi akijibu maswali ya watu waliofka kuhoji kwa nini wamekosa mkopo,amewajibu "WALIOPATA WAMEPATA NA WALIOKOSA HAWATAPATA"Cha kuwapa moyo amewaambia wakate rufaa na wasubiri majibu ndani ya...
0 Reactions
60 Replies
7K Views
Kwanza nimshukuru Mungu kwa kunipatia bahati ya kupata Mkopo toka HESLB.Ila naungana na ndugu zangu walokosa.Wagegawa 50% kwa wote wenye sifa za kupata mikopo.Isipokuwa Madaktari wangepata 70% ili...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
wakuu,naomba msaada kwa anaesoma Algeria o aliyemaliza huko!!!!!!! are u advising som1 to go,from your...
0 Reactions
1 Replies
887 Views
kuna mdg wang amechaguliwa na tcu ifm lkn anataka ahamie t.i.a au N.I.T afanyeje ili apate hyo transfer? naomben ushaur wenu tafadhal
0 Reactions
4 Replies
915 Views
Jamani siku hizi ukiwa SUA kupata degree si lazima ukomae bali kama una mzigo wa kueleweka basi unapata (namaanisha pesa).Kuna lecture moja aliyekuwa anafundisha kozi yenye code EDM 304 aliwaomba...
0 Reactions
60 Replies
8K Views
Dar es Salaam. The Higher Education Students’ Loan Board (HESLB) plans to spend Sh325 billion in loan disbursement to students in the 2013/14 academic year. About 62,000 students, 32,000...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Hivi hii jumuiya ya vyuo vikuu tanzania inafanya kitu gani mpaka sasa hatujaskia lolote kutoka kwao kama wanafuatilia suala la waliokosa mkopo ama na wao ndo kwa kuwa wanaingia kwenye bodi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Saidia kumcheki ndugu yangu huyu s0979/0069/2004 au p0620/0257/2006 kama kapata mkopo heslb
0 Reactions
0 Replies
792 Views
Muda wwte wanaachia majina cha msing tuombeane tu ndugu zangu maana tumechoka kusubir
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…