je wajua kuwa wanafunzi wa first year waliopata neema ya HELB Unatakiwa ufungue account ya benk kata ya matawi yafuatayo CRDB,NBC & NMB Ila swali je ni lipi kati ya haya matawi ni nzuri zaidi na...
jaman hii ndiyo habari ya bodi ya mkopo sasa...kama unajua umeandikiwa ''not secured means...no loan''...haya imekula kwetu
Nipo bodi hapa na watu ni wengi na sioni mustakabali wowote
Msaada,
Ndugu yangu amefanikiwa kupata schoolarship ya commonwealth dakika za majeruhi.
Shule inaanza 1/10/2013.
Leo ndio amepata all the docs kwa ajili ya application ya Visa.
Nimefahamu kwamba...
Guys naomba niulize,,, hvi hayo majina ni wote walioomba mkopo au ni wale first year tu... maana kama mimi ndo naingia 2nd yr lakin ndo nimeomba kwa mara ya kwanza mkopo... so cjajua lile neno...
Jana nilikuwa naidurusu website ya udom! Nikakuta tangazo ati usipolipa ada na direct cost mpaka 30 sept, hautafanyiwa usajiri tareh 12/10, Sijaelewa hii imekaa vp. Yeyote mwenye ufahamu wa hili...
Habari zenu wakuu!naomba msaada kwa aliyeweza kufungua adm letters za UDOM,mimi nimejaribu kufuata maelekezo kama walivyoelekeza kwa kuingiza index no.ya form 4 kama username na surname kwaherufi...
Nimesikitika sana kw idadi kubwa ya wanafunz wapya wa vyuo vikuu kukosa mikopo mwaka huu ni kweli kuwa isingekuwa rahisi watu wote kupata lakini kwa idadi ya waliokosa inatisha mwaka huu. Lawama...
Nimefanya mtihan mwaka jana form 4
na niliambulia
B/KEEPING- D
COMMERCE- D
BIOLOGY - D
B.MATHS - C
nime0mba Chuo nilitaka kusoma Account nimekosa sijafahamu hadi n0w nifanye nini...
Mimi Ni Mwalim Wa Sekondari Manispaa Temeke Masomo Ya Arts Natafuta Mwl Wa Kubadilishana Nae Toka Ilala,kwa Anaehitaji Tuwasiliane Kwa E_mail:wycliffe181@gmail.Com
Mimi ni miongoni kati ya wale tuliandikiwa huo ujumbe sasa sisi ndio tumekosa mkopo au kuna awamu ya pili maana kama hamna tena wengine ndoto zetu zinaishia apa....!
Shule ya sekondari kirumba ilemela mwanza imeshinda katika uandishi wa insha ya Utalii.Washindi wote watatu wametoka kirumba sekondari ambayo ni shule ya Kata.Waziri Nyarandu alikuwepo katika...
Nikiangalia kwa uzoefu wangu ktk suala hili la mikopo, naona wazi kuwa HESLB huwa haitupi kipaumbele sana watu wa diploma japokukuwa idadi yetu huwa ni ndogo ukilinganisha na wale wa kidato cha...