Waungwana naombeni msaada mdogowangu kachaguliwa kozi hii vipi ndugu zangu katika maisha ya kibongo anaweza ikamfaa,sina maarifa kuhusu kozi za eng. please.
Kuna habari inayovuma kua kuna wimbi kubwa la ubakaji kwenye kambi za(ya) mafunzo za(ya) JKT kwa wnafunzi waliohitimu KIDATO CHA SITA wanaojiunga kwenye kambi hizo kwa visingizio vya KUWAFUNZA...
naomba kwa yeyote aliye na majina ya waliohamia ECKERNFODE TANGA UNIVERSITY 2013/14 au atakayezipata popote pale anipigie 0685733122 niko porini jamani
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema mzigo tayari umeshapakuliwa(watu wa IT ndio wanaufeed na kuutengenezea program),kwa haraka haraka mchanganuo wa loan hupo hivi.1.Md,vet,civil=wamekula...
OK inawezeka ulikuwa mdau wa hzo komb au laa we changia ucjal cha muhmu cc kujua ukwel et kat ya PCM &PCB unahis nan alikuwa serious sana na anapiga misuli mirefu lakini anaongoza kwa kukosa...
Nimechaguliwa bsc in chemistry udsm lakni ningependa kusoma fisheries and aquaculture je kuna uwezekano wa kubadili course? Vp kuhusu soko la ajira la hii course naombeni msaada tafadhali!
Nimebaarikiwa kujua vitu vingi xana kuhusiana na sekta ya elimu na taasisi zake,mie n kijana mdogo bt am xo updated,xo ask me anythng kupata more info about selection,mkopo etc. Via->...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimemtaka Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa kujiuzulu kwa kushindwa kulipa madeni ya walimu nchini.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana pia...
Wadau, naomba msaada wenu kwa wale wenye ufahamu wa kutosha kuhusu bodi ya ugavi na manunuzi (psptb), kwa mtu mwenye diploma ya manunuzi na anayesoma Business Administration General (NTA level 8)...
Kwa wale ambao tuna endelea kuwait 3rd round section,wametumbia tuwe wavumilivu kwani tuta pewa taarifa kuhusu selection,kama vp tuendele kupena taarifa kuhusu mkopo na 3rd selection
1.Wadau nauliza nitajieni kwa kiingereza nataka kuipanda,na itachukua mda gani hadi kufika kimo cha futi 5
2.Pili kuna miti inaitwa Royal Palm inachukua mda gani hadi kufikia futi 6?
Mnijuze...
naomba mnijuze pathology inasomwa na madaktari tu ama mtu yeyote anayesoma afya? Au kama unajua kati ya hizi: phamarcy, nursing na medical labolatory, fucult ip wanasoma pathology?.