naombeni wana jf mnijuze ipi kati ya course ya diploma in dental tech na diploma in clinical medicine ni nzuri kwa vigezo hivi
1)maslahi
2)ajira
3)uwezekano mkubwa wa kujiajir mwenyew kutokana na...
mdogo wangu kamaliza darasa la saba natafuta shule ya international sekondari hapa dsm wilaya kinondoni
kumuanzisha pre form one iwe
boarding ,gharama isizidi milion 2,msaada kama kutakuwa na...
jamani naomba msaada wenu kwa wale ambao mmewahi kufanya au mnaofanya kazi bandarini, mi nimechaguliwa NIT course ya PROCUREMENT AND LOGISTICS, vp course hii naweza kuajiriwa bandarini? au kupiga...
NIMATUMAIN YANGU WANAJAMII WOTE NI WAZIMA WA AFYA NJEMA.
Ama baada ya salamu, dhumuni la kuja jukwaani ni kuwaarifu wale wanaotarajia kujiunga na chuo cha IFM na vyuo jirani kwamba Nafasi za...
Hi Jf? Any one who can concretely describe these two courses; BACHELOR OF ARTS WITH EDUCATION vs BACHELOR OF ARTS IN EDUCATION!
Description should be based on the differences,similarity and...
Wadau kwanza najua hii post imewashtua wengi but ndo hali halisi iliyonitokea mwanzenu,
mimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza hapa sua.nilipofika nilijua kuwa life la chuo ni kula bata
nikawa...
mambo ya heslb kimnya hamna cha tetesi wala news alert.
bora kusubiri halafu upewe mkopo kuliko kuwahi kutoka alafu unyimwe "huu ni wangu mtazamo wasomi msijenge chuki" na hata na Mtaalam1
Kweli nimeamini ule msemo wa ndugu na jamaa wa kitaani..!! "SUA IS NOT AN EASY AN EASY THING ".... due to the following reason
- Lecture 1 full masaa 4 Yaliyoshiba..hakuna hata muda wa kunywa...
Wandugu nimekutana na hii kitu kwa wale waliomaliza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam 2013. Ni tarehe, mchanganuo na taratibu za mahafali:
Tuanze kuandaa ukumbi, mapilau nk.
Tuandae pesa za majoho na...
Habari kutoka kwa mdau wangu wa kuaminika ambaye pia ni muajiriwa katika kitengo flani humohumo wizarani ananitanabaisha kwamba majina ya waliochaguliwa kujiunga na kada mbalimbali kupitia wizara...
Hii ni michango kwa undergraduate wote: [i]Tuition fee-look on guide book accordng to ur course [ii]Registration -5,000/= [iii]Exam fee-20,000/= [iv]Graduation -10,000/=(once) [v]Identity...
Admission Letters for Selected First year students for academic year 2013/2014 are available on the following link
Admission Letters
Please make sure you read the Instructions careful on how to...
hey wana jamvi kuna rafiki yangu amechaguliwa corse inayoitwa "bachelor of health administration" sasa alikuwa anaomba msaada wa kujua kuhusu ajira na maeneo ya kupata kazi. Kwaanae faham...
Majina kwa mwenye tetesi walioomba kubadili vyuo yanatoka lini?au kwa mwenye any info plz tupia..2peane taarfa ili na waliokule kijijini wapate taarfa ambapo hakuna taarfa