Wakuu kwa utafiti nilioufanya hapa tanzania wa vyuo vikuu hapa tanzania nimekuja na formula ambayo itatofautisha vyuo,vyuovikuu,na taasisi kwa kutumia formula ifuatayo , programme+programme=...
Vijana wengi ambao wanatarajia kujiunga na elimu ya wanategemea mkopo ili kuweza kusoma, sasa wewe kijana unaesubiri mkopo umejiandaa vipi endapo utakosa?
Aisee yaani ukisikia watoto wa masikini wataendelea kuwa masikini wa elimu na kila kitu ndo inajidhihilisha!!!yaani masterz kwa sasa ada ni 7milions cash!
Hapo bado accomodation, si balaa hii...
TCU bado haijatoe official statement kwahiyo msishangae ukakuta umepangiwa chuo kingine au coarse nyingine...nimetoa hii tahadhari sababu watu hamkawii kusema tCU wanadanganya uma....ok!kila la...
WADAU MSAADA TAFADHALI
Saturday, September 14, 2013
WADAU HESHIMA KWENU, NIMEONA HII SCHOLARSHIP HAPO CHINI LAKINI NILIPOFIKA HAPO KATIKA RED, NIMESHINDWA JINSI YA KUIPATA HIYO FOMU HATA HIYO...
Hello,,,naomba msaada kwa hili,,nimepangiwa chuo na TCU/NACTE lakin jina langu halijawekwa katika website ya chuo ambacho nimechaguliwa ila marafiki zangu wote niliapply nao wao majina yao...
Wana bodi habari zenu? tafadhari naombeni mwenye uelewe na mfumo wa NACTE au TCU anijuze yafuatayo.
1. Higher Diploma ni sifa ya kielimu sawa na Adv Diploma.?
2. Kama ni sawa au sio sawa je...
jamani wana jf kumbe elimu ya tanzania kama tamthiliya ebu cheki
1/ongezeko la shule la kata=mitihani ya kuchagua ili wajae
2/uchache wa shule za advance=wanatibua tokeo la form 4 mpaka...
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
PROCEDURE FOR CHANGE OF DEGREE PROGRAMME
All first year students are required to register in the academic programmes they have been admitted to. Those wishing to...
katika joining instruction ya st.john nimekuta kitu hiki, "7. You must join a health insurance company which provides coverage throughout Tanzania and present evidence (membership card) of such...
ATTENTION!
Get a book of COMMUNICATION SKILLS titled COMMUNICATION SKILLS FOR ALL LEVELS written by E.B. MAHELO.
- - Its material treats all levels of education such as O-level, A-level...
Mi cjui! kama ni utaratibu wa vyuo vyote nchini au baadhi.Unasifa ulipe kwanza kujiunga badae Bodi itakufinance.Je? haiwakoseshi nafasi masikini na kupoteza muda hata kukata tamaa.
pole na mishughuliko ndugu na jamaa,naomba niende moja moja kwenye hitaji.
nimepata nafasi ya kusoma diploma ya horticulture chuo cha kilimo Tengeru Arusha,reporting date mwisho tarehe...
Salamu,
tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu.
Mie ni mwanafunzi nafanya utafiti kuhusu deni la taifa na kuongezeka kwa uchumi . tatizo ninalokutana nalo ni ukosefu wa data.
ombi...
Poleni na harakati za hapa na pale katika kuelimishana na kuongezeana ujuzi katika suala zima la elimu!
nimechaguliwa chuo na kozi tajwa hapo kwenye "tittle" nilihitaji tu kujua endapo naweza...