Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jamani hv wale wa st.joseph university ya dar,registration lini ya 1st year?hv kuna hostel?
0 Reactions
0 Replies
837 Views
Baraza la Wafanyakazi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) limekutana mwishoni mwa wiki iliyopita kwa kikao cha siku mbili kujadili taarifa za kiutendaji za taasisi hiyo kwa...
1 Reactions
55 Replies
6K Views
Wanajamii hapa kuna swala linatatiza kidogo.Kuna bwana mdogo amechaguliwa Course ya Enviromental Planning and Management IRDP na alikuwa anabackground nzuri kwenye GIS (kwa miaka minne) na ana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wama JF, naomben mnisaidie kwa sababu hapa nilipo tumbo joto sielewi kama nitapata mkopo aula na kila kitu nilishatimiza na lin wanatoa majina ya waliopata mkopo. msaada wenu
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habar wana jf nina mdogo wangu anasoma chuo 1 hapa dsm na sasa yupo mwaka wa pili mwezi wa 10 anaingia mwaka wa 3 yaan wa mwisho tatizo linakuja amepata kazi nzuri tu ya kudumu mkoa tanga kwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Jamani kwa yoyote anayeijua hii kozi vizuri naomba ailezee vizur na application zake ktk maisha maana kuna ndugu yangu kachaguliwa hapo na ana utata wa kuijua vizur hiyo kozi maana inatolewa na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii nimeipenda na nimeamua kuileta hapa kwenu wana DUCE wenzangu. Pia mnaweza kuitafuta page yenyewe kuona mengi zaidi DUCE YETU Habari zenu WANADUCE, Kwanza tunawapongeza wote kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
AMRI KUMI ZA CHUO. 1.Hicho ndicho chuo chako usiwe na chuo kingine ila hicho. 2.Usilitaje bure jna la chuo chako mana utawaumiza wengine. 3.Ikumbuke cku uliyochaguliwa na kuiheshimu...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Kwa wale waliochaguliwa kujiunga na chuo cha usimamizi wa fedha(IFM) n kwamba admission letters na joining instructions zmeshaanza kutolewa chuon hapo tokea jana....kwa maelezo zaidi tembelea...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Salaam wakuu wangu, Naomba kuuliza hiki kitu. Je kwa gpa ya lower second (Let's say 2.9) kuna uwezekano wa kwenda direct kufanya Masters bila kupitia post-graduate? Na je, vyuo gani hapa TZ...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Huu ndo mchanganuo wa course na sifa zake 1.civil enginearing-hawa hawajawah kuchinja tokea wazaliwe 2.law_wapenda sifa 3.banking and finance_wanapenda kutafuta sifa wakati mshaara wa mbuzi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
et membar wezangu naomba mnisaidie naskia et kuna join instruction form zimetoka et ni kwel na pia naomben mnisaidie jins ya kupata admission latter m2 anafanyaje
0 Reactions
13 Replies
1K Views
wan jf ninaomba michango yenu juu ya hilo la ubora wa hivyo vyuo hapo juu na sababu ya ubora wake il tukat mziz wa fitin
0 Reactions
148 Replies
21K Views
tarehe 12 ndo tunaingia so jamani tupeane ushilikiano
0 Reactions
44 Replies
4K Views
wadau msaada jaman nataka kujua j kama chuo nna cho soma kama kmesajilwa tafadhal chuo chenyewe n karatu health institute of nursing and clinician
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nit
wale wa nit tujuane humu.
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Wanajamii forum hope mpo poa nachukua nafasi hii kuuliza kwa mtu anayefahamu kuwa majina ya chaguo la pili Tcu yanatoka lini? Nakutakia siku njema
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani haya ni majanga kwa walimu wa sekondary kwa hawa form one wa mwaka huu yaani mwanafunzi anajumla wa alama 50 kati ya miambili hamsini amechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza huyu...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
msaada jamani kwa wale wanaoijua hii programme/course inahusika na nini na ajira yake ikoje kama mtu akiisoma udsm
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi ninaomba ufafanuzi kuhusu hili jambo.Ni mtoto wangu ambaye anasoma shule ya binafsi darasa la saba katika English medium ambaye anatarajia kumaliza elimu ya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…