Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

habari zenu naomba kuuliza hivi viwango vipya vya ufaulu vilipitishwa au vinatumika vya zamani fano F mwisho 21? naombeni kujuzwa natanguliza shukrani zenu note. kwenye makosa tusahihishane na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Cpa
Chuo kilichoongoza mitian ya CPA mwaka jana ni MUCCoBS,hakuna habar za UDSM,MZUMBE wala IFM
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Imetoa ajira kwa matabibu meno,wasaidizi,na wataalamu wa maabara na hivyo ingia website yao www.moh.go.tz
0 Reactions
2 Replies
6K Views
N.B:ALL SECOND YEAR STUDENTS SHOULD PAY TAS. 100,000/= ON TOP OF THE DIRECT COSTS FOR MEDICAL CAPITATION source www.udom.ac.tz/index.php/important-notice-to-all-students
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Je naweza kuhama course niliyochaguliwa kabla ya kwenda chuon kama niko jirani na chuo????na kama kunauwezekano pleasee anaejua process zake naomba anijuze!!!!NI HILO TU
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari za jioni' wana jamvi nilitamani sana kusoma medicine, lakini kwa bahati nzuri au mbaya nimechaguliwa pale mzumbe .BACHELOR IN PUBLIC ADMINSTRATION IN RECORD AND ARCHIVE MANAGEMENT. kozi...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Et wakuu niaje una 1ya17 ana C tatu wote advance una 1ya 9 ana E mbili wote chuo una GPA first clas ana GPA ya mwisho na ndo bosi wako umesoma UD ye kasoma UDOM alafu kitaa kinakuadabisha
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Jamanii eti majina ya watakao chaguliwa kujiunga na mwaka wa masomo 2013 / 2014 yanasemekana kutoka lini ngugu zangu
0 Reactions
10 Replies
5K Views
naona kila mtu ana furaha na chuo chake alichochaguliwa hata mimi pia ila naanza kupata mashaka na hiki chuo ambacho mimi nimepangiwa hamna updates zozote kwenye website yao kuhusu sie tunaoenda...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
ndugu naomba mwenye hiyo financial structure ya mzumbe maana joining instruction haionyeshi michango mingine zaidi ya hostel fee
0 Reactions
11 Replies
2K Views
soma hapa:A S-key:
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Wale wa mwenge university moshi tukutane hapa sababu reporting day ni 6/09 na boom halijasoma!!
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Fourth Graduation Ceremony will take place tomorrow and the distinguished guest is honourable Dr Shukuru Kawambwa Minister of Education. This graduation involves those who completed their studies...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilikuwa napitia vitabu vya shule za msingi vya sasa na vile vya zamani ofsin ili kupata ni kitabu kipi kinafaa kufundishia kabla ya shirika kupeleka mawazo wizara ya elimu. tumegundua kuwa vitabu...
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Matukio yanayonihuzunisha 1.wanapiga makonda mpaka wanawapa vilema 2.mwalimu akizingua wanamchapa kama mtoto mdogo 3.yani shule wanaingia saa 4 kuhusu taaluma 1.kufaulu 1 kati ya 120...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
tembea au kimbia ikibid tambaa cha muhmu ni kuhakksha unatimiza malengo yako zako
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wana jf naomba kujunzwa juu ya aina ya laptop nzuri kwa kuzingatia Ubora, uimara, aplications, charge storage, bei kulingana na thamani yake na vinginevyo! itanisaidia mimi na atakae kununua laptop.
0 Reactions
2 Replies
980 Views
Naomben msaada wenu tafadhali!Nilikua gvt,nataka niombe ajira upya gvt,what should be done Wana JF?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
sielewi udom tatizo ni nin mpaka wanachelewa kutoa admission letter sababu waajir hawatoi ruhusa mpaka waone admission letter na mda ndo unasonga,
0 Reactions
1 Replies
963 Views
Wasalaam wanajamvi! Ni muda mrefu sasa nimekuwa nikijiuliza maswali mengi kuhusu jambo hili maana mda mrefu sasa nimekuwa nikiwasikia watu wakisema siasa imeingizwa kwenye elimu pindi utumbo...
0 Reactions
0 Replies
814 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…