leo nimetembelea web ya st john nikakuta taarifa hizo. Tatizo chuo hiki kila kitu kiko kwenye pdf files, ivyo sikuweza kusoma yaliyomo maana device yangu haisupport pdf files. Habari ndo hiyo...
WANAFUNZI wa Darasa la Saba wanatarajiwa kuanza mtihani yao ya kuhitimu elimu ya msingi kuanzia Jumatano ya wiki hii.
Mitihani hiyo inatarajiwa kufanyika kwa muda siku mbili ambapo humalizika...
Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Mnero Wilayani Nachingwea mkoani Lindi, Andrew Chiunguile, amejeruhiwa vibaya baada ya kushambuliwa kwa kupigwa kwa mawe na magongo na wanafunzi, ambao walimtuhumu...
Asalaam wana JF,
Nimekuja hapa ili nipate ushauri ama nielekezwe taratibu za nini ninapaswa kufanya kutokana na tatizo la kitaaluma lililonipata. Nilikuwa mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Mtakatifu...
samahan wana jf kwamfano mwaka wa kwanza akibahatka kupata mkopo toka bodi ya mikopo kwa asilimia mia ni gharama zp atahtajka kuzilipa anaporipot chuo?na ile pesa ya matibabu kwa wale wenye bima...
Kumekuwa na mkanganyiko ni lini wanafunzi wanaoendelea na masomo wanafungua shule. Mwanzo ilikuwa 29/09/2013. Sasa wanasema ni tarehe 12 October 2013. Website yao inaonesha hiyo tarehe 12/10/2010...
Hii ndio serikali ya Tz
Kumbuka hawa ndio walee walio fanyiwa updates kwenye matokeo yao...
Hawa waliochaguliwa kwa mara ya pili, pia wenye divison 4 wamo tena ndio weng.. kigezo nikua na...
Wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini, wako hatarini kuchelewa kupata fedha za mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kutokana na mchakato wa kutoa mikopo hiyo...
Tunayo pongezi kubwa kwa vijana wote waliochaguliwa kujiunga na chuo kikuu Ardhi kwa mwaka wa masomo 2013/14. Chuo kipo jijini Dar es Salaam karibu na UDSM.
Nianze kwa kukufahamisha jinsi ya...
jamani nime download joining instruction ya mzumbe but haionyeshi michango kama ada,registration fee na michango mingine ko mwenye info anisaidie ndugu!
Wakuu naomba msaada na maelezo yenu juu ya makadilio ya kiwango cha fedha ninachostahili kufika nacho ili niweze kusajiliwa. Pia upatikanaji wa hostel utaratibu wake unakuaje. Naombeni msaada wenu...
Kiukweli jamani ninaumia sana na huu mfumo wa elimu yetu maana umekuwa ukiendeshwa kiutashi wa wanasiasa, embu angalia kipindi Mungai alipokuwa waziri alifuta biashara na kuunganisha Physics with...