Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wanachuo 900 wamechaguliwa kujiunga na chuo kikuu ardhi, 2013/14, uwezo wa hosteli ni vijana 461 tu hivyo vijana 439 kulazimika kujitaftia makazi nje ya chuo.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwaanaejua tarehe ya kuripoti na information muhimu kuhusu hiki chuo
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Vp Kuhusu Soko Lake Linalipa?alaf Hyo Injinia Inahusiana Nanin Hasa Kikubwa Zaidi
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cuhas/Bugando wametoa selection jana jion, nenda kwenye website yao
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ni vp wadau.. Tatizo langu nimechaguliwa na tcu.. Chuo cha NIT ila jana wametoa majina yao kama chuo ila jina langu halipo sa naomba kujua inakuaje hapo an kipi nikifanye.. Mana wameandkia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yanatoka lini haya matokeo naomba kuuliza
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Ikumbukwe kua matokeo mabaya ya mwaka huu yamestua wengi sana.BIG RESULT NOW ni mfumo ambao umecopiwa Nchini Malesia na Ucapestiwa hapa Tanzania katika sekta za kiuchumi na kielimu kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
..ndugu zangu mliochaguliwa st marks dar..kama kuna yeyote anayejua cku ya kuripot kwa first year chuon tujuzane..cz wengine ata hatujui knachoendelea n kp...nawasilisha wandugu
0 Reactions
10 Replies
2K Views
kuna msemo wanasema maisha ya chuo ni bata sio kama advance,sijui kwa coz zingine ila kwa coet ukiamini huo msemo utaumia tena unaweza ukaingiza sup za kutosha tu,kwa coet msuli unaitajika tena...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wale mnaotaka kutuma maombi Muslim University of Morogoro, muda wa mwisho wa kutuma maombi ni 31 Julai, 2013. Hakuna gharama za kufanya application, unachotakiwa kufanya ni kujaza form na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Watoto wengi wa wanasiasa na baadhi ya wakubwa wa nchi wamekua wakipewa mikopo na bodi ya mikopo ya elimu ya juu wakati hawana sifa za kupata mikopo hiyo. Wengi wa watoto hao huwa wanapewa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa wale first year waliochaguliwa kujiunga na chuo hiki kama unachochote chakuuliza au kujua wasiliana nami kwa namba zifuatazo kama msaada 0654370515 /0682836319.KARIBUNI SANA
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TOSHIBA SATELLITE C850-B838 INTELdual core 1.7ghz,ram 2gb,hdd 320GB.,HI NTAIPATA kwa bei gani mpya?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani wadogo zangu mliochaguliwa SUA mjipange kwa kitabu pale wale jamaa hawana huruma wanakula vichwa. Utajikuta unaaga mashindano semister ya kwanza. Karibuni SUA
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama umechaguliwa kujiunga na SUA ongera sana! b's ni chuo kizuri ila akina mchezo njoo ukiwa umejipanga! kimekaa kiukulima ila mambo yake makubwa!"kula ushibe uwahi mzigoni ukifika utakonda tu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nlikua nataka kufahamu ni chuo gani chenye watoto wengi kuliko vyote wa mama salma apa bongo mwenye taarifa atujuze
0 Reactions
2 Replies
1K Views
SAUT Mwanza imetoa List of first year applicants-2013/2014 unaweza ingia link hii Saint Augustine University of Tanzania » Applicants Selected to Join Various Degree Programmes 2013/2014 au...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
wakuu nimepata udsm aquatic environmental science..na nimeomba mkopo..xaxa wakat wa kufanya registration watahitaj gharama kiasi gan mpk registration ikamilike au wale watakao lipiwa na bodi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada wenu kujua vyuo vya serikali vinavyotoa Certificate ya mambo ya maabara,kuna dogo ananisumbua ila hakusoma physics o level.Je ni sifa zipi anatakiwa kuwa nazo ili apate kozi...
0 Reactions
21 Replies
24K Views
jaman hiv mnaweza kunisaidia ni fedha kiasi gan kwa makadirio kinahitajika kujisajil chuo kabla ya boom?
2 Reactions
53 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…