Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Watanzania wenzangu, cheevening scholarship for the masters course is now open. Deadline ni november 2013. Fuata hii link Tanzania Nawasilisha
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wale tulio omba Beng katika taasisi ya teknolojia ya dsm(DIT), Hawa jamaa mbona wako kimya sana na hawajatupa matokeo yetu mpaka sasa au ndio wana subiri NACTE?maswali ni mengi ila majibu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hizo barua za malalamiko mliziandikaje na vielelezo vipi mliambatanisha heslb?
0 Reactions
16 Replies
5K Views
  • Closed
Mkopo kwa wanachuo wa chaguo la pili na mengineyo kwa mwaka wa masomo na bajeti 2011/12 ''MKOPO HAKUNA'' KWA MAELEZO ZAIDI TEMBELEA WEBSITE YA BODI''HESLB''12/10/2011
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu naomba kupata ufafanuzi juu ya mkopo unaotolewa na HESLB je ni pesa ipi ambayo kila mwanafunzi hupewa sawa sawa na wanafunzi wengine ? ni pesa ipi ambayo hutofautiana kwa...
1 Reactions
32 Replies
6K Views
Wadau naibu waziri wa elimu mh Philip mulugo yupo ndani ya kipindi cha dk 45, huku mtangazaji akimpiga maswali mazito. Moja ya hoja alizokuja nazo ni ''bridging course'' iatakayo wawezesha form 6...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bodi ya mkopo ya Elimu ya juu (HESLB) IMEGOMA/IMESHINDWA/IMEKATAA kutulipia ada (Tuition fees) ya mwaka wa masomo wa 2012/2013 . Sakata hili lilianza pindi ambapo mwaka huu wa masomo ulipoanza kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwenye ujuzi na hii course. Vipi kuhusu uwanja wake wa ajira, unaweza kufanya kazi gani.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Closed
For more details tembelea website ya bodi
0 Reactions
12 Replies
3K Views
  • Closed
Inakuwaje wanatangaza majina ya wanafunzi waliopata mkopo na aslimia zao afu ukitembelea website yao ni EMPTY!!!:flypig:
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Jamani...out vipi hawajatoa majina ya kujiunga na masomo mwaka huu..2013/2014?..nina ndugu yangu anaulizia
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Pamoja na mabadiliko mbalimbali yanayofanywa na tcu kila mwaka ili kuboresha. Nashindwa kuelewa kuwa hivi sasa vigezo vya uwezo wa kifedha, uyatima na ulemavu havifuatwi tena? Facult zinapotumiwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Just vist http://www.bugando.ac.tz ,hongereni kwa mliochaguliwa!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nikwamba TCU imetoa muda zaidi kwa maombi ya vyuo kuanzia kesho tar 3 sept hadi tar 7 sept pia wanaotaka kuhama vyuo na programe nao pia rukhusa kwa maelezo zaidi tembelea website a TCU
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nahtaji Kujua wanafungua Lini?na Vp Sehemu Ya Kuishi?tuwasiliane Kwa Namba Hii0754643558 Kama Kuna Mtu Pia Yupo Mza Kapangiwa Huko Vyema Tujuane Minipo Mza Mabatini
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama nilivyo eleza hapo juu TCU itapokwa maombi ya wanaotaka kuhama chuo kimoja kwenda kingine ingia www.tcu.go.tz kwa maelezo na masharti ya kuhama.!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ndugu wanaukumbi?.Mimi ni mwalimu wa sekondari niliyeajiriwa mwaka huu hapa wilayani Ukerewe.Naomba kubadilishana kituo cha kazi na mwalimu aliyepo Wilaya yoyote ile mkoani Morogoro,Pwani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nimechaguliwa bs in geoinformatics aridhi lakini ndoto zangu ilikuwa kusoma petroliamu..tatizo nikwamba nimepata diploma ya petroliam sasa na kwama nisaidien niende wapi na nikipi kitanilipa zaidi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi binafisi nimechaguliwa katika course ambayo niliifikiria hasa nikiwa form 4 na nikaamua kusoma CBG A-level ili niipate i.e BS in applied geology-udom, ni baada ya kuckia kuwa inalipa,but...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
  • Closed
Ingia website ya bodi kuna loan breakdown kwa tatol amount uliyopewa b4.Ni mchanganuo mzima wa hiyo pesa.
1 Reactions
44 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…