Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jaman wakuu naomba mnijuze kuusu chuo cha makumila kipo Arusha kitaaluma , mazingira yake, na vp kuusu maisha yahapo chuo kwa ujumla tafadhalini naomba msaada
0 Reactions
26 Replies
5K Views
jamani mimi nina ndugu yangu wa kike alimaliza shule miaka ya nyuma ila si sana. alipomaliza alkuwa na bahati kweli maana alikuwa na div 4 ya 26 lakini kwa kuwa combination ilibalance basi alipata...
0 Reactions
1 Replies
946 Views
Notice to Applicants who have not been selected during the first round of application due to various reasons. 1. Overview TCU informs all applicants (Form six and applicants with foreign...
2 Reactions
23 Replies
18K Views
hellow , mimi kuna kitu kina nitatiza sana maana kila siku kuna sababu zinatoka kuhusu hawa tcu, nahitaji jua nilini wanafunzi walio apply kujiunga na chuo watapata matokeo yao maana inakera ...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wale wanaodharau wanaoenda kusoma education ajue ya kwamba hadi hatua aliyofika ni kwa juhudi za mwalimu..ujue kwamba ulizaliwa bila kujua chochote kuhusu elimu ..lakini mwalimu wako alikufunza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
haieleweki utaajiliwa wapi? course content ni zile zile za advance mfano utakutana na mechanics, magnetism,heat,wave then hakuna cha field walimu wachache practicals mpaka vifaa vitoke udsm na mta...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Jaman hiv serikali ina mpango gani na wanafunzi wenzetu ambao wapo jkt maana kuna watu majina yao yalikuwemo katika wale waliokosa first round lakini hawakutaarifiwa ili wafanye selection na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
fanc help me plz
0 Reactions
68 Replies
7K Views
Heslb vipi jaman na vigezo vyenu vya kutoa mkopo? Mbona mnaumiza wasomi?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba msaada wenu tarehe ya kuripoti DIT first year ni lin
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Napenda kuchukua nafasi hii kuwa asa wale wote wenye mpango wa kutumia pesa zako katika kuomba mkopo kwenye hii taasisi sjui ya HLSSF Kwa kifupi hawa majamaaa nimatapeli watakulia 30000yako na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
yani wale wenye ufaulu mzuri 4m6 ndo wanaenda SUA,UDSM,MZUMBE Wale vilaza waliobahatisha ndo wanaenda SAUT,TUMAINI,ST.JOHN Na vyuo vingine vya private najua mtachukia :yield: 2013 TWENZETU
1 Reactions
96 Replies
49K Views
Jeshi la polisi nchini limetoa orodha ya vijana wa kidato cha 4 wa mwaka 2012 na wale wa kidato cha 6 wa mwaka 2013 walioitwa kwenye usaili wa kujiunga na jeshi hilo. Vijana hao ni miongoni mwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jaman naomba msaada kwa yeyote mwenye ufaham na mwez halisi wa kutolewa selection za diploma muhimbili..
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamiiforum naomba ushirikiano wenu.!
0 Reactions
134 Replies
7K Views
Sifia chuo chako baada ya kuona ma2nda yake baadae....this is not the time kulumbana chuo hiki bora na kile sio,Wakati hata ku'report chuo bado
2 Reactions
86 Replies
5K Views
Wadau nimetembelea tovut ya SUA nikakuta baadhi ya majina ya wanafunzi ya wanafunzi wanaotakiwa kuapply for 3rd round na wamepewa siku 11 na mwisho ni tar 31 mwezi huu. Sijui hili mmelipata!!?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wadau,baada ya rumours nyingi,sasa imebidi niiweke hapa ili wadau mnisaidie.at nasikia kuna degree programmes udom zinatolewa kweny skuli,ambapo hakuna waalimu wowote waliobobea katika fani...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Tanzania ukiwa na principle moja na subsidiary inatosha kuwa MWALIMU na ukifundishwa, psychology,measurement,foundation of education,Curriculum na methodology inatosha kutengeneza Taifa la kesho...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…