Niaje watu wangu wa nguvu kutikamuce?
ebwana tunawakaribisha first year wote mliochaguliwa MUCE.
Kiukweli MUCE akuna kuuza sura ni kiytabu kwa kwenda mbele.
kwa wale wauza sura imekulu kwao.
Heshima mbele,
jamani nataka kusoma diploma in IT pale DIT lkn mzazi wangu hana pesa za ada za kulipa hapo chuon so ningeomba kujulshwa jinsi gani naweza pata udhamin kutoka serikalin ili niweze...
MISSION
To offer relevant and cost effective premium secondary education that equips the student with knowledge, skills and morals that are required to effectively participate in the...
Nina ndugu yangu yupo kijijini, ni muhitimu wa kidato cha sita ameniomba nimwangalizie profile yake ya tcu...chaajabu nimekuta wame muekea kozi mpya zote tofauti na alizo ziomba, mfano udsm...
ati kati ya procurement officer na accountant ni yupi bora na ni ipi course rahisi kuisoma, ipi rahasi kupata kazi na mishahara yake ikoje. Naombeni msaada wenu haraka iwezekanavyo.
Jaman kwa wale waliochaguliwa st johns ya dar kama unajambo unalotaka kulijua au kuelekezwa au kujadiliana contact me kwa namba zifuatazo . 0654370515 / 0682836319. Mambo kama course kwa ujumla...
Natafuta company ya wadau kadhaa tushirikiane kuanzisha mradi wa kusahau biashara za TCU humu jf mpaka 3rd round ipite na official anouncement ifike.Nimeona kujiajili sio mpaka niwe na digirii au...
Hapa TEKU kuna "mchwa" wanaotafuna pesa kila semester punde tu zitokapo HESLB.Boom tunalopata ni faida kutokana na pesa zetu.wafanyabiashara wakubwa wapo hapahapa chuoni,mzigo ukitua kutoka bodi...
Dear JF Member,
I'm in need of the Book titled"48 Laws Of Power" By Robert Greene. I'll be ready to share the cost of purchase if the owner is available in Tanzania. I'm advancing my appreciation...
Tanzania ni nchi mojawapo iliyobarikiwa kwa kutoa kauli mbiu zenye mvuto. Utasikia ari mpya,kasi mpya na nguvu mpya. Mara kasi zaidi,ari zaidi na nguvu zaidi. Mara maisha bora kwa kila mtanzania...