asalam aleykum!
Bwana yesu asifiwe!
Wanajamvi naombeni mawazoyenu kutokana na uelewawenu dhidi ya hizo kozi hapo juu [laboratory technology na agriculture science]
je ni ipi nikisoma ina...
Wanajf,naombeni msaada,nina digrii ya elimu maalum,sasa nataka nikachukue masters ya kati ya social work na human resources,hapa tz vyuo gani vinatoa kozi hizi? na ipi ni nzuri?
Nimepata nafasi ya kusoma diploma ya animal health chuo cha mpwapwa sasa joining sijapata mpaka sasa na chuo kuanzia tarehe moja tunaripoti,anayefahamu ada na mahitaji apaswayo kuwa nayo...
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Phillipo Mulugo
Mgomo wa wanafunzi wa Sekondari ya Ilboru, iliyopo wilayani Arumeru, kutoingia madarasani uliingia siku ya pili jana...
Tcu imekuwa too much in connection failed hivi ni kwa nini? Kama tatizo ni watumiaji wengi ni kwa nini wasiongeze wigo wa teknokojia ili tupate huduma bora kwa wakati wote! au wana malengo gani na...
Nimekuwa nikifanya mawasiliano na baadhi ya wahitimu wenzangu walioko JKT na kwa taarifa walizonipa zimenifanya niamini 100% kuwa hakuna Awamu ya tatu ya kwenda JKT kwa kidato cha Sita kwa Mwaka...
Bodi ya mikopo wametoa idadi ya waombaji wapya wa mikopo elfu 54 wakati waliomba tcu kulingana takwimu zao hawafikii elfu 45 je ongezeko hilo limetoka wapi.
Isije ikawa ni janja ya kuwanyima...
Niliomba vyuo mbalimbali kusoma diploma ya education. Nimepata vyuo viwil mount meru university(dip in educ) na institute of adult education
(dip in adult and continuing educ) ipi nzuri zaid?