Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jamani hili suala la jkt mi bado nipo gizani,hivi ni kweli bila kupitia jkt huwezi kupata chuo,na wanaokwenda jkt ni watu wa aina gani? Na wanakwenda kwa vigezo gani?
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Naomba wizara ya MASHULE irekebishe matokeo ya mitihani ili ufaulu uongezeke tupate waalimu MAHIRI ktk MASHULE!!!
0 Reactions
0 Replies
709 Views
Naomba wahitimu wote wa kidato cha sita ambao hamjaenda jkt mkatae kwenda huko maana hili halina tija kwa taifa zaidi ya kwenda kutesana na kuumizana huko halafu kwanza nchi yoyote ile kipaumbele...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
jamani naomba kujuzwa ,kwanini profile za international students waliosoma advance nje na wanafunzi wa diploma hazi log in?
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Hii inaoneshwa na waraka huu http://therisingcontinent.wordpress.com/2013/07/04/kagame-publicly-threatening-to-hit-president-kikwete/
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Licha ya kufanya watu wawe wazalendo na taifa lao lakini hili la kugegedwa madada limekua sugu ,hii inasaidia wao kutosota sana kulingana na wengine.Hivi kuna haja ya kuwa na sheria yoyote...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tcu wanaposema application is through first come first serve basis ?? Inakuaje msaada
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nimekaa nikafikiria sana kwamba hawa jamaa waliopona kwenye second reapplication washapata vyuo tayari ila tu ndo wasubiri kujua wamechaguliwa wapi......Lakini pia hata hawa jamaa zetu waliotakiwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
jaman hali ni mbaya wakuu nisaidieni hiili mimi nilimaliza form six mwaka jana niliomba mkopo nikapata kidogo mno yaani hela ya kula na field tu! sasa nilikuwa nataka kuaapeal mwaka huu kwa sa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hili gazeti leo lina kicchwa cha habari kisemacho WALIMU WAFELI MTIHANI VIBAYA, hii heading ni ya kijinga na udhalilishaji, Ilipaswa waandike Wanafunzi wa Ualimu wafeli Mtihani, maana mwalimu...
0 Reactions
7 Replies
12K Views
Mimi ni mwl . Mwenye shahada....masomo biology na geography...shule iwe maeneo ya dar es salaam. Nina uzoefu wa miaka 6 ya kufundisha.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, I hope you are all well. Nahitaji kufanya a masters in construction and engineering management. Naombeni mchanguo na fursa zilizopo in ths field. Thanks in Advance. Barikiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ningependa kupata mfadhili wa kwenda kusoma, course ya animal health hapo tengeru , mpwapwa, morogoro kwani kwa sasa najishughulisha na miradi midogo midogo ya mifugo isiyoweza kukidhi kulipia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani wana jamvi; mimi jina langu halipo kwenye ile orodha ya second round app. but nikiingia kwenye profile yangu, af niki-klick ile application batton; ninaletewa yale maneno ya 2nd round...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
naomba kueleweshwa kuhusu hiki kinachoitwa NEWS VALUE katika tasnia ya habari, please
0 Reactions
0 Replies
741 Views
mie ni primary teacher niko pande Ps 0685733122 Au 0787940686
0 Reactions
2 Replies
938 Views
jaman katika profile zetu zimeandikwa processed pale kwenye not yet processed
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habar wakuu hivi hili swala la second round la tcu ni kwa form six applicants tu au hata wale walio apply kama diploma holder inawahusu naomba kueleweshwa.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar zenu wanajamv,nimeongea na dada flani hv ambayo yuko fld anadai kwamba wanafunz wanaoapply second round ya tcu huwa wanakua katka risk kubwa ya kukosa mkopo.Inakaaje hii wadau? kuna ukwel...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
SOMA TAMKO LA WALIMU WA MKOA WA MBEYA JUU YA CWT NA SERIKALI JUU YA MISHAHARA NA HAKI MBALIMBALI KWA WALIMU MSUMARI MKALI: HILI NDO TAMKO LA WALIMU WA MKOA WA MBEYA JUU YA KUPANDA KWA MISHAHARA...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…