Mimi ni mdada, nilifanya mtihani wa kidato cha sita mwaka 2007 kama private candidates, baadae nikapata nafasi ya kujiunga na chuo kikuu kwa kutumia cheti changu cha matokeo yaani result slip...
Mi ni mwalimu,DIPLOMA HOLDER.
Nafundisha halmashauri ya wilaya ya singda.
natafuta mwalimu wa kubadilishana naye tokawilaya ya magu,au maeneo ya karibu na hapo ili niwe karibu na wazee wangu...
Jipatie laptop aina ya Compaq yenye specifications zifuatazo
Harddisc 80GB
RAM 2GB
SPEED 1.8
Laptop ni nzuri sana na utaipenda ukiiona mwenyewe
kila kitu safi isipokua battery inachukua dak 15...
Kwa wale waliofanya application za vyuo.na majina yametolewa na tcu kwa ambao hawajachaguliwa wengine majina yetu hayapo lakini tukiangalia selection status zetu kwenye profile zetu tunaambiwa...
naskia ni kutokana na ratiba ngumu ya masomo, kuna ukweli juu ya habari hizi au ni kwa sababu zingine. nimezipata leo kutoka kwa rafiki yangu anaesoma mwaka wa pili hapo muhimbili
hii ni taarifa rasmi ya jeshi la kujenga taifa . kutokana na ufinyu wa muda na uchache wa kambi hakutakuwa na wanafunzi wengine watakao kwenda jkt kwa mwaka huu , hvyo utaratibu wa vyuo utaendelea...
tatizo la serikali ya tz ipo mfukoni mwa watu tumesikia walimu wa grade na diploma mwaka huu wa 2013 matokeo yao si mazuri nawapa pole ndugu zangu tatizo ni sera mbovu ya serikali ya ccm ya...
Jamani mwanafunzi wa shule ya secondary kaulizwa"zikiwa zinacheza simba na yanga na siku hiyo ukapita barabarani na ukakuta taa ya njano inawaka itakua inamaanisha SIMBA ipite au YANGA ndo...
NACTE has released a list of diploma holders who were not selected to join various course as per their selection during the application trough CAS.The list is available in their website...
Hakuna daraja la kwanza kwa vyuo vyote
Watalazimika kurudia mtihani kufikia viwango
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa
Wakati serikali ikisuasua kutoa ripoti ya...
habar zenu Wanajamvi...
Nmepitia TCU Website thru my phone nmekuta majina ya waliokosa first selection yametoka.
Kwa bahat mbaya mwenzenu na wengineo cm zetu hazina uwezo wa kufungua PDF na tuko...
Najiuliza sana kwanini wale wanaofundisha vyuo vikuu ukiondoa kozi za education,
Mfano
1.Law
2.Enjinia
3.Utawala
5.Biashara
6.Compyuta
Nk
Wengi wao awajasoma njia za ufundishaji sasa...