Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

wazee naomba mnisaidie hicho kitabu, nimesoma mahala kwenye mtandao lakini baadhi ya kurasa wamezitoa.
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Nina uzoefu na Physics ya A level ,kwahiyo kama una shule na unahitaji nitafute 0759 146483 au ni pm
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Kwa wale mlio apply mvumi matokeo yametoka.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
jamaani ndugu zangu nimejaribu kufanya uchunguzi wa majina ya waliochaguliwa vyuo vya diploma ya clinical medicine mwaka jana kama vile kibaha,mafinga,mtwara,lindi,kilosa,nikagundua majina huwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wadau kuna dogo(msichana)ana ndoto za kuwa daktari na matokeo yake sio mazuri sana kwani amepata Phy-F, Chem-E, Bioz- D, Gs-F na Bam-F. Je kwa matokeo hayo anaweza pata course ya udaktari hata kwa...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Dada yangu amechaguliwa kujiunga kidato cha tano ifakara high school sasa anaomba msaada wa joining instruction form nitumimie kupitia Kadogerkadox@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa yeyote anayejua chuo cha kilimo na mifugo haijalishi ni cha serikal au binafsi naomba atupie hapa full detail za chuo hicho il niweze kufanya application nasubir msaada wenu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi wakuu kuna kauli moja imetolewa kwa walimu kuhusu big results walimu wanatakiwa kufahulisha wanafunzi katika kiwango cha asilimia 60 % kwa fomu 2 na four 4 kutokana na kupandishiwa mshahara...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
jamani,mimi nimetuma maombi wizara ya afya mwaka huu nina division two ya 18,nina B ya chemistry,D ya biology,C ya physics,pia masomo ya advantage mathematics nina B,english nina D,NIMEOMBA KUSOMA...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Wadau, Kama mtu anataka soma nje ya nchi, say wingereza na anahitaji scholaship, ni cha kufanya? Aanzie wapi?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwenye kujua anifahamishe tafadhali ktk ngazi yeyote
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nawezaje kupata scholarship ya kwenda kusoma nje?
0 Reactions
2 Replies
710 Views
kwa mtu anayefahamu si mbaya kunielekeza process zote zinazotakiwa kufuatwa kwa kupata scholarship nje ya nchi level ya masters.. naamini majibu yatajibu maswali haya; aina za scholaship...
0 Reactions
0 Replies
769 Views
kozi ipi ni bora katika soko la ajira au kujiajiri nawakilisha wakuu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau,leo wakat napitiapitia gazet la mwaanchi nimekutana na tangazo lililopo Ukurasa wa 17 ambalo linasema 'BADILIKO LA JINA LA CHUO KIKUU CHA TUMAINI'. Halmashauri kuu ya kanisa la...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Wapendwa waalimu wa secondary shule za Morogoro Municipal...nina shinda very critical. Naomba kama upo tayari kunisaidia tuwasiliane kwa simu, nibeep tu...0787 062208...It's very crucial.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Causes of mass failure in secondary schoolnational examination In the recent years our country isexperiencing mass failure in secondary schools. Scholars, education stakeholders and community at...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Causes of mass failure in secondary schoolnational examination In the recent years our country isexperiencing mass failure in secondary schools. Scholars, education stakeholders and community at...
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Naomben mnfahamxhe kuhsu sengerema sec mazngra na taaluma kwa ujumla bla kusahau miundo mbinu ka maj na umeme
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna nin shy bush...kuhusu walimu na mazingira pia?
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…