Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Msaada wa mara secondary accademic na mazingira yake kw ujumra
0 Reactions
13 Replies
2K Views
naombeni mwongozo wakuu kwa anayefahamu vizuri juu ya hili,hivi mtu akimaliza diploma ya clinical officer anaweza kuunganisha kwenda kuchukua MD? au haiwezekani kabisa.
0 Reactions
0 Replies
922 Views
TGTS A1 296,000 TGTS B1 344.000 TGTS C1 432,500 TGTS D1 589,000 TGTS E1 769,000 TGTS F1 1,003,000 TGTS G1 1,320,000 TGTS H1 1,734,000 TGTS I1 2,415,000 hii ndio mishara mipya
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Msaada jamani tujuane walio chaguliwa hii shule
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam wana JF.Poleni kwa majukumu na mahangaiko ktk michakato ya maisha ya kila siku.Mwenzenu nimekuwa na wasiwasi juu ya usiri mkubwa unaofanywa na serikali juu maslahi halali ya watumishi wa...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
SATURDAY, JULY 20, 2013 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu Kozi maalum ya Kwanza ya Mafunzo, katika Chuo cha Taifa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne (2012), amekutwa akisimamia ujenzi wa zahanati ya wilaya ya Bukombe-Mkoani Geita. ALipoulizwa kwa nini linta imepinda alijibu ni kwa sababu ya mbao...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
dah ...wanajamvi naomba msaada wenu..je kwa sasa naeza fanya application d.i.t?nina C ya phy,C ya chem na B ya hesabu....(diploma)
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wale mliotuma maombi kujiunga TIA ( certificate na Diploma ) 2013/2014 majina tayari yapo hewani.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu kwa heshima na taadhima, naomba kuifahamu shule ya sekondary Geita kwani kuna dogo kapangwa form 5 huko kwa kombi ya EGM. Je ni shule ya zamani kwa maana ya uwepo wa walimu wa kutosha na...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Jaman mimi nimepangiwa kbaha secondary PCM nataka kuijua shule vzur kiundan nipen info kuhusu hiyo shule tafadhaLi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naombeni kuulza kwa anayejua ukweli kuhusu mishara mipya ya walimu please naomba unisaidie. Setifikate ,diploma na degree , hawa wanaotoka nyuo nakuajiriwa.
0 Reactions
34 Replies
5K Views
napenda kuulizakuwa post za ualimu zinatoka lini? maana vyuo vimeshafunguliwa
0 Reactions
0 Replies
751 Views
Naomba kuuliza, eti DIT inabadilishwa na kuwa chuo kikuu na kama ni kweli, itabadilishwa lini? Asanteni
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi kila Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi anayekuja huwa na madiliko katika sekta ya elimu? Huyu aliyepo sijui kama amefuta utoaji wa vyeti vya darasa la saba. Kuna mwingine alikuwepo akataka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeipata kutoka kwa mwanafunz anayetarajia kujiunga na kidato cha tano kuwa wanapigiwa simu kutoka shule walikopangwa na kuwataarifu waanze kuripoti shule kuanzia tarehe 22/07 na siotarehe 29...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kwa yeyote anaejua shule kwa a -level private yenye mchepuo wa sayansi (PCB) pia iliyo na bweni...naomba msaada wenu mkoa wowote ule tz..pia cmbaya ukiniambia na garama zake kama unazifaham..
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani wadau kwa anayeifahamu hiyo shule anisaidie kuna rafiki yangu wamemtupa apo kachanganyikiwa kwel
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habri za mchana wanajamvi. Poleni na shughuli za kila siku za kuhakikisha mlo unaenda kinywani. Pia poleni na hongereni kwa mfungo mtukufu ndugu zetu waislam. Napenda kutoa mawazo yangu juu...
2 Reactions
11 Replies
6K Views
hivi jamani naomba nisaidiwe napata shida katika namna itumikayo sasa kusahihisha mitihani uhusuyo masomo ya lugha je ni sahihi kusahihisha jibu tu? au pengine kufuatilia neno kwa neno ili...
0 Reactions
0 Replies
721 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…