Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

“Ukweli ni kuwa ni asilimia 1.5 tu ya Watanzania ndio waliobahatika kuunda tabaka la wasomi.” Wasomi wengi wa Tanzania ni matunda ya vyuo vya Magharibi, ndiyo maana hata wazazi wengi wenye uwezo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
vp wadau post za IT TRA wamesha ita mbona kimya kingi?
1 Reactions
1 Replies
1K Views
MH. DKT. LUCAS WEBIRO : EXPLAIN ACUTE EDUCATIONAL PROBLEMS FACE BUNDA TOWN,MARA. Bunda Town Community Based secondary schools. The twenty Community Based secondary schools in Bunda...
0 Reactions
0 Replies
682 Views
Wanafunzi 34,482 walikuwa na sifa za kujiunga na kidato cha 5, ila 76 kati yao hawajachaguliwa kutokana na kuzidi miaka 25. #2013KidatoCha5 View details · East Africa Radio @earadiofm 11m...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Majina ya form five waliochaguliwa yashatumwa kwenye mashule,na kwa sasa wanaandaa joining instructions kwa shule niliyoona majina hayo,shule hiyo imepelekewa wanafunzi 98 kwa comb ya HGL,HGE,EGM...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Jamany walengwa!. Naskia kutakuwa na mkutano wa vijana utakao fanyika udsm! Ni wa siku kazaa! Na umeandaliwa na wizara ya elimu. So, mwenye habari zaidi kuhusu mkutano huu. Plz! Atujuze.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jamani hivi hawa jamaa wanaosubiri post nikutokuelewa au? kila siku ndani ya jukwaa unakuta new thread zaidi ya 5 ambazo zinaulizia post zinatoka lini hivi mnaona raha sana kupost au ni ulimbukeni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Matumaini ni makubwa leo!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kumbe majina ya wanafunzi watakaojiunga cha tano tayari yapo mashuleni source mkuu wa shule moja kanionyesha live bila chenga
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Azania, Dar es Salaam wakijisomea katika moja ya darasa la kidato cha tano jana. Matokeo mabaya ya kidato cha nne ya mwaka 2012, yameendelea kuitikisa sekta ya...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
  • Closed
Kwa wale wanafunzi wanaotarajia kwenda kidato cha tano mwezi huu.wajiandae kwani muda wowote kuanzia sasa post zao zitakuwa hewani na watatakiwa kuripoti shuleni mapema kwa mujib wa wachunguzi wa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Nimesikia Ya Kwamba Post Za Kwenda Kidato Cha Tano Zimetolewa Leo July 1 2013 Je Ni Kweli Wana Jf? Chanzo: http://www.tanzania.go.tz/matokeo03.htm
0 Reactions
36 Replies
13K Views
“Mara zote ambazo CWT ilipanga kuanza mgomo, azma yao ilikatishwa na amri ya Mahakama ama mazungumzo baina ya chama hicho na serikali.” Kwa muda mrefu sasa Serikali imekuwa kwenye mgogoro wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wanabodi kuna taarifa zimenifikia muda si mrefu kuwa inawezekana kabisa mkuu na makamu wake kuondolewa chuon kwa kile kinachosemekana utendaji mbovu na ufisadi. Wanachuo waligoma wiki...
0 Reactions
11 Replies
11K Views
Licha ya kuwa mataifa mengi yamesaini mikataba mbalimbali ya kimataifa ya kuhimiza elimu kwa wote wanaostahili, mamilioni ya watoto, vijana na watu wazima wamekosa haki hiyo kutokana sababu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
“Katika shule na vyuo vingi kitengo cha maadili kimekufa, wengi wamebaki na kitengo cha Weledi Wa Akili (Mental Intelligence).” Utaalamu pasipo maadili ni sawa na gari linalotembea usiku likiwa...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Simiyu- Imani za kishirikina ni tabia kongwe ambayo imekuwa ikiendelea katika jamii mbalimbali nchini ikiwamo mkoa mpya wa Simiyu. Kutokana na imani hizo, wazazi au walezi wameshindwa kushiriki...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna habari nilizoshindwa kuthibitisha ya kwamba wahitimu tarajali wote wa vyuo vya Elimu ya Juu watatakiwa kwenda JKT kwa mafunzo maalumu mwezi wa Nane. Naomba kama kuna mtu mwenye habari sahihi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tcu
Hivi vocha za tcu ndo haziuzwi tena?
0 Reactions
1 Replies
788 Views
wakuu mliotutangulia naomba mnifahamishe napaswa kuandaa sh. ngapi ili kuanza form 5 kwa makadrio ya gharama zote make mda ni kidogo mno. nitashukuru
0 Reactions
3 Replies
953 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…