Wana JF naombeni msaada kwa wanaoelewa juu ya course zitolewazo na ADEM na je kuna uwezekano wa kupata mikopo kupitia TCU?
Natanguliza shukrani zangu kwenu!
kwenye my profle ya tcu upande wa selection status inabd uandikiwe nn? Na kwenye met min equivalent uandikiwe nn?kwasababu sielew mpaka sasa! Yan katika profile langu kwenye met min equivalent...
Habari wana jf huwa nasikia kuna daktari bingwa wa magonjwa ya watoto na kina mama mara utasikia daktari bingwa kwa upasuaji. Napenda kuuliza hawa watu wamesomea wapi na wana degree...
naombeni ushauri..
mimi nilimaliza kidato cha nne 2010 na nilifanikiwa kupata history- C na civics-C ...mwaka Jana nilirudia(2012)
nikapata geography-C na kiswahili-B
je naweza kwenda...
Password ya HESLB nimeisahau! Sasa kuna sehemu ya ku-reset password; ambapo wameandika kwamba kuna njia 3, sasa ile njia ya kwanza imenishinda! Tatizo langu ni kwamba nashindwa kutumia njia ya...
Mi nna mdogo wangu na alikuwa JKT katoka lkn time imebana vibaya mno cz vocha za TCU amehangaika kila sehem anaambiwa zmeisha.Kuna uwezekano zoezi likaongezwa kuwapa nafas waliokuwa mafunzoni kwa...
Naomba mwenye busara na huruma anisaidie,nimechagua vyuo vikuu v3 then vingine nikamalizia bt cha kushangaza nilivyoongeza mpaka sasa havpo,vinaonekana vyuo vitatu2 UDOM,UDSM§DUCE.Vp hapo haina...
Kwa atayeniandikia jumla ya Hela ya Nchi. Nitumie m-Pesa, Tigopesa au namba yoyote nakurushia faster ukipata. Natoa saa moja to from now 15:30 to 16:30
UPDATE:-
Jibu lako hili hapa...
Bwana Yesu asifiwe wakuu!
Naomba msaada kwa anayejua gharama ya ada ya shule ya Loyola High School iliyopo Mabibo-Dar, kwani kuna kijana ndugu yangu kapata DivII-20 tunataka tumpeleke hapo...
Mie leo nimelog in kwenye cas ya tcu nimekuta pale kweny min requirement wameniandikia yes lile neno la cheking in progress limetoka,naomben mniereweshe kwanz {min} ndo inamaanisha nin?
Habari wadau!
Natafuta msichana aliyehitimu kidato cha Sita mwaka 2013 na kupata daraja la I-III katika masoma ya Biolojia, Kemia na Fizikia (PCB) kwa ajiri ya ufadhiri wa masomo ya elimu ya...