Samahani naomba kuuliza.Mimi nmemaliza diploma last year,nataka kua apply chuo direct bila kupitia T.C.U. Sasa kuna mtu kaniambia kuwa hiyo system haipo sa iv wote tuna apply kwa T.C.U. Naomba...
Jaman wakuu zangu naomba mifahamishe kama kama naweza chaguliwa kwenda a'level ktk government shool kwa matokeo haya CIV-C HIST-D KISW-C ENG-C GEO-D CHEM-D BIO-D MATH-D ni dv 3 ya 25 nitashukuru...
Mara ya kwanza nilivyoliona hili tangazo la jkt nilifurahia kwa kuwa nilijua si miongoni mwa wale watakaoenda kupiga kwata......lakini baada ya kukaa na kufikiria vizuri nimebaki na maswali mengi...
Wanajamvi kumekuwepo na msemo kuwa miaka ya nyuma ndio kulikuwa na wanafunzi bora kielimu kuliko miaka ya sasa ambapo wengi wanadai wanafunzi ni vilaza,naomba tuweze kuifuta kauli hii kwa sababu...
Wakuu sijui form 4 ya miaka mitatu mbele sijui itakuwaje maana nikiwaangalia wanafunzi wenyewe sipati picha.labda baraza ipunguze ukali wa mitihani kama pepa zitaendelea kukazwa qualification za...
Hello
Baada ya university promotion kuwa slow nakuja na fast unlimited internet kwa mwezi mzima itakayo kuwezesha kuangalia tutorial za u-tube na kuelewa new knowledge from abroad lecturers ,uta...
Ni hayo tu wakuu na pia ktk kuongezea nimesikia kwamba ba in agro economics haina tofauti sana n bcom,je kuna ukwel katika hili nawasilisha ndugu zangu!
Msaada wakuu, nina ndugu yangu amepata division 4 ya point 19, anataka kusoma diploma ya medical doctor .naomba ushauri wa chuo ambacho kinatoa course hiyo, ukiwa unajua na ada yake itakuwa imetulia.
Wadau naomba kusaidiwa eti kwa sisi 2lomaliza diploma mpk uwe na gpa ngapi ndio unaweza kujiung mzumbe cz mm nna 3.2 na nataka kujiung economics ya mzumbe bj diploma nimesoma f.a in accounting je...
Uchaguzi mkuu wa viongoz wa cuhasso bugando unatarajiwa kukamilshwa j2.wagombea wa kamb zote wanahaha kuweka mambo sawa.mchuano ni kati ya AGUSTINO MSONGE<MD2> na MUSA MDEDE<MD3> mpaka sasa MSONGE...
Waziri wa fedha kasema elimu ni kipaombele cha sita,je elimu ikiendelea kushauka ni nani wa kulaumiwa? Nashauri wananchi wailaumu serikali na si walimu. Poleni watanzania.
Ni kweli wakuu nilianza kujisomea mwenyewe ili kufanya mtihani wa ACSEE kuanzia mwezi wa 10 mwaka jana nimepata daraja la 3 points 13 yaani history D english D na kisw E siri kubwa ikiwa ni vitabu...
Pamoja na sababu nyingine nyingi zilizochangia watoto wa kidato cha nne kuferi, hii ya miruzi mingi nathani ndio iliyompoteza MBWA!
Miruzi hii imetokana na wizara ya ELIMU kutokua na sera ya...
Kwa anayefahamu pls anijulishe ni nini passes za combination za arts please.Je, mwenye C,D,D. KWENYE HGL anaweza pata form 5 ya serikali ingawa ana Div 4 points 26?
elimu ya tanzania kwa mwaka huu imeshuka kupita kiasi na wanafunzi wamefeli sana japo kuna malekebisho walofanya.lakini masomo ya sayansi hasa phisikia watu wamefeli sana. Ipi sababu ya health...
MKUU WA JKT MEJA JENERALI RAPHAEL MUHUGA ANAWAITA
VIJANA 10,849 WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA MWAKA 2013 KUJIUNGA NA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA KAMA IFUATAVYO:-
1. VIJANA WOTE WALIOHITIMU KIDATO...