Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

mwalimu ananyanyaswa sana, unyayasaji wake hauko kwenye chochote zaidi ya dharau anayofanyiwa, kebehi anazopewa, haki yake inavyopokwa binafsi kwa ufahamu wangu, ni kwamba mshahara wa mwalimu...
0 Reactions
0 Replies
869 Views
Why did the slavers carried red-flags :canada: during their caravan routes ??
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Msaada Tutani "Why did the slavers carried the red-flags during the salve trade while passing via caravan routes "?.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
what are the problem that faced most of the African countries since attaining their independence
0 Reactions
0 Replies
497 Views
wakuu kila niki log in kwenye acc yang heslb napata ujumbe huo,mwenye idea na hili tatizo msaada pllllz
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Dhahiri nianze kwa kuipongeza Serikali kwa mipango yake ya kuwasisitiza watumishi wajiendeleze kitaaluma. Pamoja na jitihada hizi , Serikali imejisahau kutambua kuwa mabadiliko haya yanapaswa...
0 Reactions
0 Replies
988 Views
phy C,BIOS C,CHEM C,GEO D,MATH D, KISW B,HIST D,ENGL D, CIV C,
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jamani hv jkt zinaenda shule ngapi? na ni zipi hizo??
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Yah husika na kichwa cha habari hapo juu,hizi ni taarifa za uhakika kabisa kutoka jikoni makao makuu JKT,waweza ingia hii link ujionee mwenyeweJeshi la Kujenga Taifa
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Je kuna yeyote mwenye taarifa kamili juu ya hili? Ukifanya marejeo kwenye hotuba ya Mnadhimu Mkuu wa MafunzoJKT kwa Mh. Rais siku ya ufunguzi wa Mafunzo ya Kijeshi, ukakamavu na uzalendo kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi nilimaliza kidato cha nne,tangu mwaka 2009,,nilipata divn 4.27,,,nimeangaika kupata fees kwaajili ya chuo,,lakin mpaka leo imeshindika,,nahitaji kusomea ualimu wa chekechea,,lakin,nimeshindwa...
0 Reactions
1 Replies
762 Views
Mm nimemaliza diploma ya financial administration so nlikua nataka kuomba economics ya mzumbe bt nmeckia wanachukua wenye ufaulu mzuri tu. mm gpa yangu ni 3... je naweza kupata
0 Reactions
2 Replies
947 Views
muongozo wa elimu ya tanzania ukoje ?. Je walimu wanawafundisha wanafunzi hasa kwa lengo gani. Pengine hii pia ni chazo cha kua na elimu duni
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jaman mi napata wakat mgumu wa kutumia haina ya pen kujaza phome za mikopo pamoja picha zangu za muombaj zinapigwa muhur wa s/mtaa au hazipigwi,pia swala la TCU una aply vip vyuo msaada wenu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kadiri ya miaka mitatu au minne hivi tanzanzia imeshuhudia matokeo mabaya sana ya wanafunzi wanaomaliza elimu ya sekondari na hasa hasa kidato cha nne...hii inathibitishwa na madudu ya mwaka huu...
0 Reactions
2 Replies
910 Views
:A S-omg: Hivi Tanzania tuna wataalamu wa sera , mipango na uongozi katika elimu??:rapture:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ambao wanafanya mitihani ya bodi ya WAGAVI (PSPTB) ya matokeo ya NOVEMBER 2012 ndio yametoka kwa maelezo zaidi tembelea website yao ucheki kwa wewe uliyefanya hiyo mitihani unaweza kumjulisha na...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Eti results slip za form 4 zinat0ka lini?
0 Reactions
0 Replies
672 Views
Ukiwa sekondari ukasoma shule binafsi unaheshimika kuliko wanaosoma za kata lakini vyuoni ukusoma vyuo binafsi inaonekana wewe advance hukufaulu vyema wanaofaulu vyema wanaenda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu heshima zenu! naombeni ushauri wenu. ndugu yangu kakwaa division four poinnt 18 akiwa na ESF ya PCB. swali : je anaweza kusomea diploma ya udaktari? yeye mwenyewe anapenda kusomea muhimbili...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…