Mm nimemaliza diploma ya financial administration so nlikua nataka kuomba mzumbe cz ilove hichi chuo bt mmejaribu kuulizia nimeambie wale wenye ufaulu mzur ndo wanokua admitted. m gpa yangu ni 3...
guys nimekuwa nikisikia kuwa kuna watu fulani wana IQ kubwa, yaani great thinkers compared to others.
sasa ni kitu gani kinachoweza kusababisha mtu kuwa na IQ kubwa kuliko wengine ?
and please...
Eti kwa mfan0 mtu anatafuta crdt 2 akarudia mtihani lkn baada ya mtihani akawa am3fanya vibaya na kuk0sa hata ch3ti kabisa .
Sasa swali na kwamba J3?huyu m2 anaw3za ku2mia ch3ti chak3 cha mwanz0...
Hivi unafikiri kupandisha madaraja ya kufaulu ndio kupandisha hali ya ufaulu kwa wanafunzi pamoja na hayo yote je! Maisha bora kwa kila mtanzania yatatoka wap kwa hali hii?
Kwahiyo elimu ni mafunzo yahusianayo na nguvu za kiakili, yaani kuendeleza akili na maadili, kwa kusoma na nidhamu, ili kumfanya binadamu kutenda katika usahihi. Elimu hii ni lazima iunganishwe na...
salaam ndugu zangu wana jF...
kuna mdogo wangu kapata hivi katika matokeo ya form 4 mwaka 2012.....
bios C
kisw C
engl C
chem D
geog D
math D
civcs D
phys...
Iv kunatofaut gan kat ya frexible grade na fixed grade kwa sababu walikuwa wanazizungumzia bungen nikashndwa kuelewa znatumikaje. Na je ni zp zlizotumika kusahihisha mitihan yetu ya form 4 na 6
wana jf naombeni mnisaidie proceedure za kuomba mkopo na chuo kwa ujumla coz nimemaliza f6 lkn naona wananichanganya ktk hiz proceedure.Naombeni msaada.
Namshukuru Mh. Mbatia kwa kwa kunipunguzia fikra mbovu dhidi ya Dr. Ndalichako wa NECTA. Dr. Ndalichako alisoma shule na kuitambua JIOGRAFIA, hivyo NECTA wakitunga mitihani huwa wanatunga ya...
Eti kwa mfano m2 amefanya mtihani akapata IV 27,sasa akaamua kurudia mtihani kutafuta crdt ziliz0baki lakini baada ya kurudia mtihani akawa ameharibu vibaya yaani.
Je?m2 kam huyu anaweza ku2mia...
kumekuwepo na mkanganyiko juu ya wino gani(kalamu gani/bluu au nyeusi) inayotumika katika kujaza fomu ya mkopo baada ya kuprint. Msaada jamani kwa anayefahamu kwani wengine wanasema black pen ndo...
Nimekosea kuandika index namba kwenye m-pesa na hela imekwisha enda HESBL nimeongea na voda wamesema nisubir masaa 24 lakin yamepita na pesa haijarud. Jaman naomben msahaada wenu wanajamvi
DR NDALICHAKO mimi binafsi nina imani kubwa na kazi unayoifanya kwani nimeshafanya mitihani mingi ya NECTA kama vile QT 1995, MTIHANI WA UALIMU DARAJA B na A 1996 na 2000, Mtihani wa Kidato cha...
Kuna rafk yangu amekuwa akisemwa sana kwamba anatumia ushirikina katka masomo na hiyo imetokana na kushikilia nafasi ya kwanza toka 4m 1 mpaka 4m 4...na amepata 1 ya 10 mtihan wa taifa..hivi aya...
Jamni kama kuna m2 ana ufahamu na jambo hili naomba anisaidie,kuna tetec mtaani kuwa selection za advance zitatoka pa1 na za college je kuna ukweli wwte kuhusu hilo na je tuliofanya application...
Div 4 ya 26
BIO C
CHEM C
PHY D
GEO D
KISW D
HIST D
CIV D
ISLAMIC D
MATH F
YEYE ANAPENDA ASOME PCB AU CBG nisaidieni shule ambayo itamchikua huyu mwanangu