wakuu naomba kunijuza tafadhali.Nina matokeo ya GPA 2.6666667 katika matokeo yangu ya diploma ya ualimu.Je,ninaweza kuyatumia kuomba nafasi ya masomo shahada ya kwanza kupitia TCU?
NI shetani peke yake anaweza akamshangilia mtu anayefanya jambo baya la kuangamiza taifa pasipo kujali ilimradi apate faida ya kodi za wananchi.Ni mzazi wa mwanafunzi gani anataka mtoto wake...
Naomba msaada wak0 kama ni mw3ny3 kufahamu jamb0 hili.
Eti kwa mfan0 m2 anatafuta crdt 2 lakin baada ya kurudia mtihani akawa am3fanya vibaya yaan hata cht hapati
J3?huyu m2 anaw3za ku2mia ch3ti...
habari zenu wakuu,
kuna mdogo wangu amemaliza kidato cha nne mwaka jana, amepata D mbili ambazo ni D ya maths na ya kiswahili,sipendi kuona dogo anakahome nataka kutafutia kitu cha kufanya sasa...
jamani wa mzumbe naomba msaada hasa wanaosoma busines school,dogo alisoma biashara o level alipata f math lakn advance kapata s ya baM ECA JE ANAWEZA KUOMBA BAF MZUMBE
jaman mi o level nimepata bok keepng A,comerce B,civic C ,geog c.lakn math f.advance NIMEPATA 2 YA 10.account C,commerc D,economix C,BAM S.JE NAWEZA OMBA BAF BUSINEC SECTOR MZUMBE,AU BAF ARDH UNV.?
Zamani ilikua mtu unaapply chuo direct katika chuo husika kwa gharama ya Tshs. 20 elfu, hivyo ili mtu u-apply vyuo 4 ilikulazimu ukate hiyo 80 kama form fee ya kila chuo, thanks TCU mkaanzisha...
Salaam wakuu, naomba mnisaidie ndugu yenu nimepata bahat ya kazi ila natakiwa nijue microsoft word na excel plz kwa mwenye kufaham any website ambayo naweza kujifunza au anifundishe tulipane,maana...
Dodoma. Mbunge wa kuteuliwa, James Mbatia ameitaka Serikali isiishie kuivunja Kamati ya Ithibati ya Vifaa vya Elimu, (EMAC), na badala yake iende mbali zaidi kwa kuwachukulia hatuaza kisheria...
Kwenye gazeti la majira wameandika kwamba kuna shule ya Msingi huko bagamoyo ambayo ina madarasa matatu tu. na hiyo shule ina miaka kumi tangu ianzishwe. Kumbuka bagamoyo si mbali kutoka ikulu ya...
Habari zenu wana jf napenda kuuliza kuhusu form four walioomba vyuo vya afya kutumia matokeo ya mwanzo kabla ya uchakachuajia wanawezekana wakachaguliwa au ndo tusahau tu? Ushauri plz