Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

haya maswali ya nikasome program gani mara ooo mkopo nitapata ...waulizeni tcu na bodi !aaarrrrrgggghh sent via Samsung galaxy S4
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wana JF mnapoendelea kutafakari mambo ya siasa angalieni na matokeo ya ndugu zenu hapa http://www.necta.go.tz/matokeo2010/csee2010/olevel.htm
0 Reactions
6 Replies
28K Views
Nilikuwa kwenye website ya Elimu( ONLINE BEST ) natafuta data. Kuna data walizoweka humo, lakini ili uzipate, unatakiwa kufungua file lenye extension ya 'cub'. Nimejaribu kutafuta application...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Za mchana wana jamvi? Nipo kwenye mchakato wa kuanzisha Comunity Based Organization (CBO), Ombi langu ni kwamba ninahitaji msaada wa mambo ya msingi na hatua za kufuata wakati wa usajili...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Uongz wa cuhas umetoa siku15 kwa wanafnz ambao watakua hawajlipa ada kulpa fain ya lak1 na ktofanya mthn wa sem hii mpka mwka ujao.kwa hl mnaumiza watt wa wakulma wacokua na uwezo wa kulpa kiac...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ukilipia mpesa transaction id ndio ipi maana naona inanizingua
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jaman wadau mimi nimemaliza form six na nna div 3 y 16 kwa Combi ya PCB matokeo yangu ni Physics-F, chemistry-D, biology-E ; naombeni ushauri wa course itayonifaa na chuo. I need advice
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Kozi ya diploma in Journalism at London School Journalism (LSJ) through distance learning programme takes 2 years. Nimetumia miezi 9 kumaliza. NACTE wanasita kusajili cheti! Kuna logic? Unahija...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wana jf katika matokeo yangu nimepata physics-S,chem-D,Bios-D ,Bam-S, Gs-F. Je naweza soma medicine?
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakati bado kuna changamoto na sintofahamu nyingi katika sector ya elimu hapa kwetu,jirani zetu wanazunguza mengine kabisa,wakati kuna ukosefu wa vitendea kazi vya kufundishia,miundo mbinu...
0 Reactions
1 Replies
874 Views
je unaweza kujaza fomu za kuomba mkopo heslb kabla hujaomba chuo tcu?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Bodi ya mikopo wanasema taarifa zote juu ya uombaji mikopo zinapatikana www.heslb.go.tz lakini ukifungua unakuta habari za mwaka jana! Hakuna jipya!? Je tunaombaje mikopo? Na iyo 30000/=...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habar zenu wakuu.napenda kuwaslsha jambo hli lnalozuia baadh ya vjana kupata fursa ya kusma tasnia hii.wakat miundo mbnu yote ya kua na program hii ktka vyuo vkubwa kama muhmbili na bugando ambko...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
jaman wanajamvi za asubuh,naomba kujulishwa ilipo taasisi ya taaluma za kiswahili na adress zake kama inawezela.hata location itansaidia.asanteni
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Wakuu naomba kufahamishwa wapi nitapata data kuhusu idadi ya vyuo vikuu vilivyopo nchini na ada zake. Vilevile kama kuna mwenye data hizo naomba anipatie. Naomba pia kujua ada za shule za msingi...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wana JF Habari zenu!!!! Kuna jambo moja limetokea kwenye chuo kimoja hapa dar. Liko hivi Kuna mwanafunzi mmoja alikuwa anasoma chuo kimoja kinaitwa X (Not real name). Mwanafunzi huyu alisoma mwaka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwone huyu alipost ujinga juz baada ya necta kutangaza upya matokeo ya form 4 anajiita et sa siingekuwa siri yake tu secret 23:20 30th May 2013 Wadau nilishakata tamaa ya maisha baada ya kupata...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kila Mtanzania anajua kwamba elimu yetu kwa wakati huu iko njia panda hasa kutokana na ukweli kwamba serikali inayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi(CCM) kilichojigamba kuleta maisha bora kwa kila...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Katika hali isiyo ya kawaida, wabunge wengi wa CCM waliochangia hotuba ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi wameoneshwa kufurahishwa na matokeo mapya yaliyotangazwa na Kawambwa baada ya yale ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nivema tukachukua muda huu tena kujaili suala hili ambalo sasa limekuwa kero hapa UDOM. kuna kiongozi mmoja wa serikari ya wanafunzi UDOSO Ed mekuwa akifanya mambo ambayo ni kinyume na sheria za...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…