Salam
wana jf msaada tafadhali naoma kuuliza je naweza pangia form 5 kwa matokeo hayaaaS****/014*
M
25
III
CIV-D HIST-C GEO-C KISW-C ENGL-C BIO-D B/MATH-F
JF...!
Wapendwa wana JF wadau wa elimu, nimechukua fursa kuomba msaada wa ushauri wenu kwa huyu dogo mwanaJF mwenzetu ambaye ni jirani yangu hapa home napoishi.
Dogo matokeo yake ya kwanza...
ndugu wanajamvi niko hapa mbeya.serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha teofilo kisanji au kwa kifupi TEKUSO ilifanya uchaguzi kupata viongozi wapya siku ya jumamosi,matokeo ya awali yalionyesha...
Kulikuwa na habari hapa kuwa CHADEMA imemwaga kitita cha milioni 9 kwenye uchaguzi wa serikali ya wanafunzi wa Chuo cha Ardhi jambo ambalo limesemwa lilikuwa ni "umbea", sasa hivi uongozi wa Chuo...
Nina dvs 1-point 14 frxt comb ni PCM na kwny comb nina PHY-C CHEM-B MATH-A je naweza kuingia mzumbe kwan huko ni chaguo langu la kwanza na pia naomba kujua topic za math&chem 4m4 5&6...
kuna kijana kapata physc-s biology-D chemistry-c GS-f Bam-f je udoctor ataenda, na vyuo vipi vinamfaa? kcmc wanaeza mkubali? hzo F za bam na gs hazina mazara?
Jumanne
Juni 4, 2013
Bajeti ya Elimu kulipua moto bungeni
Na Fredy Azzah,
Posted Jumatatu,Juni3 2013 saa 21:25 PM
Kwa ufupi
*. Itasomwa leo. Wabunge kadhaa wapania kumkwamisha Waziri kwa...
Heshima kwenu wakuu!
Naomba kufahamishwa kama mtumishi wa umma aliyehitimu masomo katika chuo kikuu huria (Open University) anaweza kuendelea na masomo kwa mwaka unaofuata kwa kuunganisha bila...
Wadau wa elimu, Matokeo ya hii shule yanatisha sana huwezi hata jua kama hii shule ipo mjini Iringa na karibu kabisa na Chuo kikuu kishiriki cha elimu Mkwawa(MUCE). Shule hii inashindwa kweli...
waungwana hebu tutathmini ni jinsi gani matokeo mapya yameleta changamoto kiupande wangu nahisi mambo takriban ndio vile vile ila yamebadilika kiwango kidogo sana jee vipi ki upande wenu...
wadau wana JF kuna mdogo wangu amemaliza kidato cha 6 mwaka huu mchapuo wa PCB nakupata div 2 point 12 naomba ushauri,
kati ya bachelors in MD na Environmental Health Science ni ipi ina maslai...