Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Nina IV ya 18. HGE Bam F, Gs F, Geo F, Eco E, Hst S. Eti jamani mlionitangulia ninaweza kusoma dipl. ya Finance au Ecinomics na vyuo vipi vitanikubali? kama haiwezekani nisome nini kwa sababu ata...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Mim nlihitimu kidatu cha nne 2010 na nkapata c5 na d 1 ckwenda advance. bt nlisoma diploma ya nta in financial administration nmemalza mwaka huu. so nataka kuomba degree bt nataka nsome economics...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu JF members, Kutokana na upungufu wa walimu wa masomo ya sayansi na ata yale ya arts na biashara, nimefikia wazo la kuanzisha website ambayo itakuwa inahusiana na wanafunzi kupata...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
1}chagua kozi ambayo unaipenda kwa dhati kutoka moyoni,usichague kozi just ili na wewe uje kuonekana uko chuo kikuu,kumbuka hyo ndio future yako so fanya maamuzi sahihi. 2}usichague vyuo kwa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi ni kijana niliemaliza form 4 mwaka jana matokeo ya kwanza nimepata division 0 ila nashukuru mungu matokeo ya pili nimepata division 4 ya 33 chemistry D,maths D nyingine zote F nahitaji kujua...
0 Reactions
1 Replies
989 Views
Kwa sasa hesabu au math ni somo la lazima sasa kwa uhaba huu wa walimu shule nyimgi za kata hazina walimu si hesabu tuu hata masomo mengine ya sayansi. Kwa hali hii kwangu mimi sioni sababu ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA WANAFUNZI WALIOFANYAVIZURI ZAIDI KATIKA MTIHANI WA CSEE 2012 1. Watahiniwa Kumi (10) bora Kitaifa: NAFASI NAMBA JINA JINSI JINA LA...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Zamani za ukoloni, palitokea Mzungu mmoja. Mzungu huyo hakuwa mtu mwema. Alikuwa mkali na mkatili sana. Kwa ajili ya ukatili wake watu walimwita mkoloni. Wananchi wote walimchukia sana popote...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
hey please naomba mnisaidie kuaply chuo kunaanza lin jaman na mkopo pia
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu! Naomba kufahamishwa kama mtumishi wa umma aliyehitimu masomo katika chuo kikuu huria (Open University) anaweza kuendelea na masomo kwa mwaka unaofuta kwa kuunganisha bila...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Gs F Kis E Eng E His E Helsb wanaweza kumpa mkopo kwa hilo tokeo hapo juu
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Jaman nipen mawazo nina 3 ya 24 eng c kisw c bio c na chem c halafu masomo mengine nina d. Chaguo la kwanza nimejaza pcb na sasa haijabalance, kwa hapo nianze kutafuta shule ya private au nisubiri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf.......wakuu naomba mnipe mwongozo wa kile ambacho ntaenda kusomea chuoni....nna div 3 ya 13 yenye ECONOMICS-D GEOGRAPHY-D HISTORY-E Pia nina F ya gs ingawa naona haitokuwa...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
habari zenu wandugu,nilimaliza kidato cah nne mwaka juzi,na nilipanga tangu zamani kusomea sheria,tatizo ni kwamba matokeo hayakuja vile nilivyopanga iwe ila bado nina dhamira ya kusomea...
0 Reactions
2 Replies
851 Views
Samahan jaman naomben m2 anaejua cutpoint in LAW ya Mzumbe University or UDOM aniambie ni ngap
0 Reactions
1 Replies
797 Views
Nina Div II ya points 10 HGL. Nahtaji kusoma Bcom in Human Resources Management au Bcom in Tourism and Hospitality Management. nisaidien msaada wa mawazo kwa uzoefu wenu na pia nahtaji kujua...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nimesoma hgl nimepata 3 ya 15 history d, geography e, english s na gs s. I realy need ur advice plz!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
s0110 ilboru secondary school div-i = 20 div-ii = 69 div-iii = 79 div-iv = 0 fld = 0 position(nationwise) -4/329 s0140 mzumbe secondary school div-i = 20 div-ii = 62 div-iii = 40 div-iv...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Napenda nianze kwa salaam, wakubwa shikamoni, wadogo habari zenu. Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mchepuo wa HKL, nimepata III ya 15 (HistoryE KiswahiliE LanguageE General Studies S). Kwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa matokeo haya naweza nikasoma nursing Bilogy D English D Civics D geogrgafy D math F History B Kiswahili D = IV 27
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…