Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Mi nimemaliza kidato cha sita na nime jaribu kuregister kwa kujaza kila kinachohitajika katika page ua CAS lakini napata error ambayo inasema your A level index number is not in our records je...
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Wakuu jf mi ni mojawapo ya wanafunzi waliofaulu kwenda form v 2013 kabla ya matokeo kufutwa lakin cha kushangaza matokeo yangu hayajabadilika wakati kuna watu walokuwa na iv za 28 na 27 lakini...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
mimi kwa jina naitwa Yassin Said Athumani ni kijana ninaeishi morogoro ni mmoja kati ya wanafunzi waliofanya mtihani wa kidato cha nne katika shule ya Jabal hiraa seminary school lakini matokeo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naombeni msaada wenu high school gan nzuri sana ya private naweza kupata kwa div 3 ya 25.... comb ya CBG... msaada wenu wana jF...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nina div 4 ya 18,bam f,gs f,geo e,hist s na economics f,naomba ushauri kama kwa matokeo haya naweza jiunga na diploma vyuo vya hapa bongo,na vp course zote related to tax?naweza pata kwa hayo...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Tcu
I have my selections not yet processed since May-1-2013. Can someone give me an idea of how I can have my selections be processed in time? Am really tired of seeing the same message " CHECK IN...
0 Reactions
0 Replies
769 Views
nimeona wATU WENGI WANATISHA UKIFELI GS HUPAT CHUO.NIMEANDIKA KWA MAANDISHI MAKUBWA kusisitza SI za kweli hizo taarifa.KAMA UNA POINT ZA KUTOSHA UNAPATA CHUO TENA HATA MLIMANI UDSM.UO NDO...
0 Reactions
1 Replies
917 Views
ndugu zangu, bila S ya GS huwezi kwenda chuo kikuu. Kwa taratibu na kanuni za TCU na vyuo vikuu GS ndo inasapot perfomance yko kwny comb uliyosoma. Hvyo hata upate div one ya points 3 bila kufauku...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Na sijui NECTA wanawekaje ranking zao..wanawezaje kuwaweka namba 4 wakati hamna zero wala four?..Its unfair kuiweka Mzumbe namba 2 wakati ina 4 mbili na 0 moja. Anyways...congrats sana...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wadau nina 1 ya 9 form 6 . PHYSCS - E, BIOS - B, CHEM - B. Gs na bam S
0 Reactions
0 Replies
960 Views
Kutokana na hoja za serikali LUKUVI amesema kuwa NECTA haikufuata vigezo vya kuwafaulisha wanafunzi kwa kufuata STANDARDTIONS na CONTINOUS ASSESMENTS. Necta wamekuwa na utaratibu mwingine ambao...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
kama una div 3 .25,ulichaguliwa CBM,na una Credit 2 na d moja
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndg zangu poleni na mihangaiko ya hapa na pale hasa ya kimaisha.kwakweli mwenyezi mungu anamakusudi yake hapangi wote waende 4m 5,kwa matokeo yangu nimeambulia hiki kidogo nimepata 4 ya 30 kwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Je nikiwa nimepata principle moja na masomo yote yaliobaki na F naweza kupata nafasi ya diploma!
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Naaanza kwa kutoa pongezi za dhati kwa Serikali hii iliyopo Madarakani kwa kurekebisha Matokeo ya kidato cha 4 nne, kwa hili naomba niunge Mkono. Sio kila jambo Serikali hii iliyofanya tubeze...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Matokeo ya kidato cha 6 yametangazwa. Ufaulu umeongezeka mara dufu zaidi ya wanafunzi 90% wamefaulu. Shule zilizoongoza ni 1. Marian Girls 2. Mzumbe Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009...
7 Reactions
63 Replies
28K Views
Kuna baadhi ya kata ambazo zilikua hazina madiwani na uchaguzi huo unafanyika hivi karibuni kwani kampeni ndo znaendelea kwenye kata hzo kwa mda huu.sasa ccm ndo watajua kua mda wao umekwsha
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina shahada ya sanaa na uwalimu naweza soma postgraduate ya afya ya jamii?na kwa chuo gani ?
0 Reactions
1 Replies
953 Views
We know the effects of striga especially on cereals, then there is a new invention/technology of control for it called push- pull technology.In this we might use Desmodium as a 'push' being...
0 Reactions
0 Replies
724 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…