Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kama kuna mtu yeyote anae jua kuhusu ada ya wanao soma certificate of nursing bugando naomba anijuze
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Jamani naomba msaada wa matokeo ya shule hapo juu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NIENDE CHUO GANI NINA 27? =>nimepata math_D Phy_D Chem_D Bios_C Engl_D Civ_D Hist_D kisw_D Geo_D am comfused what should I Do.?? Mawazo yenu bandugu
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani mi nipo interrior Lindi Ruangwa, Naombeni msaada jinsi ya kuapply mkopo wa chuo kwa wenzangu mliopo mjini, nimesikia mwisho june 30 na mie nataka nicheki zali langu..
0 Reactions
6 Replies
932 Views
Am a student taking BSc LMV with no loan am in de first year so sometime life become hard kabisa and in real sina msaada sana maana ma parents wapo vijijini na hawana uwezo kabisa ila kuna mtu...
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Kwa kweli wizara ya elimu inapaswa kuwajibishwa...hv hil kund la wanafunz waliofeli watapelekwa wapi?
1 Reactions
10 Replies
18K Views
Poleni na kazi wote, Kuna kozi fupi (wiki 2) inayolenga kutoa ufahamu kuhusu mambo ya usalama kwa watumiaji wa kompyuta - iwe kwa matumizi binafsi au hata ofisini. Ni kozi inayolenga watu ambao...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama wewe ni FORM 4,na Matokeo ya kwanza ulipata Division 0 lakini baada ya Baraza la Mitihani kusahihisha upya umejikuta umepata Division 1 basi wewe ni mmoja kati ya Maajabu 9 ya Dunia,na una...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina dogo kamaliza form 6 kapata three ya 17 pcb na ana E ya chem na bios na yaliobaki kapata F, ivi atapata chuo kweli na vp mkopo? Naomben ushaur wenu ndg zang.
0 Reactions
1 Replies
677 Views
Jaman samahan xana kwa usumbufu lakin naomba mnishaur mimi ndoto zangu zote nsome mambo ya LAW katika ngaz ya Degree na matokeo yangu ni HISTORY-D GEOGRAPHY-D E/LANGUAGE-D GS-F Sasa hii F ndo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ofisi kuu za bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HESLB) imehamishiwa Mwenge Vinyago, njia ya kutoka Mwenge kuelekea Mlimani City. Chonde chonde watu wa Mlimani msipeleke kunji lenu pale
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwanafunzi bora wa kwanza kitaifa katika matokeo yaliyorekebishwa ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika mwaka 2012, Said Irando kutoka Shule ya Sekondari Feza ya jijini Dar es Salaam...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Leo yametangazwa matokeo ya Kidato cha Sita waliohitimu mapema mwaka huu. Ingawa imesemwa kuwa ufaulu umepanda,matokeo husika si mazuri hata kidogo. Mfano,mwanafunzi aliyeongoza kitaifa amepata...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina ndugu yangu aliyemaliza kidato cha nne,matokeo yake ya awali yalikua ni Div4 ya 28.Matokeo mapya yakaja Div4 ya26 Rafiki wa huyo ndugu yangu awali alikua na 4 ya 31 sasa ana Div3 ya 24...
0 Reactions
2 Replies
856 Views
Haifai kuwa na papara
0 Reactions
19 Replies
3K Views
  • Closed
Somo la islamic knowlegde(maarifa ya uislamu) limefutwa na wizara tena katika mazingira ya usiri na barua ya kuwaatarifu bakwata iliyoandikwa April 9 ikapokelewa tar 2 may haikueleza sababu za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu poleni na majukumu mazito mlonayo katika kuijenga nchi yetu. Kwa wanafunzi wote na wazazi hongereni na poleni sana kwa matokeo yalotolewa na baraza. wapendwa katika upeo wangu mdogo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa wale wenye expirience na masomo ya biashara naomba ushauri wenu.. mi nimepata div1 ya 9 ECA. Economics-C, Commerce-D, Accountancy-B Ambition yangu kusoma BAF mzumbe if God wishes.. naombeni...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Wakubwa naomba munisaidie nimepata four ya 26 nna C ya chemia na C ya bio zilizobaki zote D nawezakupata chuo gani cha serekal coz uwezo wangu mdogo wa kifedha Na nisomee kitu gan?
0 Reactions
0 Replies
877 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…