Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jamani wadau wa elimu mwenzenu yamenikuta naombeni mnisaidie nimeaply mkopo kwenye bodi ya mikopo online lakini nimefika sehemu naambia kujaza index namba ya form six nami sijasoma form six...
0 Reactions
4 Replies
985 Views
7
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Poll Poll
TUMEKUA TUKISHUHUDIA MIGOMO KATIKA VYUO VIKUU HAPA NCHINI LAKINI HATUJAWAHI SIKIA HATUA STAHIKI KATIKA KUTATUA MATATIZO YANAYOPELEKEA WANAFUNZI KUGOMA JAMBO HILI SASA LIMEAMIA KATIKA SHULE ZA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamaa mmoja baada ya kusumbuliwa sana na gari lililokuwa mbele yake,akaamua kuchukua namba iliyoandikwa nyuma ya gari,nakuipiga,aliyeipokea alimuuliza shida nini,jamaa akasema huyu dereva wa gari...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
matokeo ya rafiki yangu acountanc A,economics C,COMMERC C,Bam S,GS kafeli je anaweza kujiunga na chuo kafeli gs?!
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kutokana na maandamano ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya mzumbe wa kushinikiza madai yao kutatuliwa,serikali kupitia katibu tawala wa mkoa wa morogoro bwana Elia Ntandu wamefunga shule hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombeni ushauri wenu wakubwa kuna dogo amepata : COMM-D B/KEEPING-D B.MATH-C BIOS-D yaliyo baki 'F' hv ni kitu gani ambacho kitakuwa ni chenye kumfaa kukiendee kwa matokeo hayo.
0 Reactions
1 Replies
842 Views
Vijana wa Form Six Mavuno yenu haya hapa: Source http://www.necta.go.tz/matokeo_html_2013/ACSEE_2013/alevel.htmNATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIAACSEE 2013 EXAMINATION RESULTS ENQUIRIES...
0 Reactions
1 Replies
16K Views
http://tcu.go.tz/images/pdf/201314Admission.pdf Samahani aliyeelewa 'activity' yenye serial number 3 katika 'Important dates' page no. 3 kwenye hiyo document anieleweshe, yaani inamaanisha mwisho...
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Kwa kweli nipo na maswali mengi sana kuhusu elimu yetu ya Tanzania nilikua nauliza nini kifanyike Pia maoni yangu ni kwamba hata D basi nazo ziwe principal kwa o level
0 Reactions
0 Replies
917 Views
wakuu naomba mnisaidie kunijazia online survey yangu iko upande wa data mining in health care https://docs.google.com/a/nm-aist.ac.tz/spreadsheet/viewform?formkey=dGJZUTMyVl9UR0R6cUEzZTJaSVNNaGc6MQ
0 Reactions
0 Replies
675 Views
wadau habari za leo, naomba msaada wenu kwa kunijazia online survey yangu inahusu data mining in health care...
0 Reactions
0 Replies
684 Views
Amani ikae kwenu! Naomba nisaidieni kufahamu, na-apply Masters Degree Uingereza, na kama kawaida inatakiwa reference letter. Hivi nani anaruhusiwa kuandika hiyo reference letter? What are the...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani mi napenda kuishauri TCU ijaribu kutembelea mara kwa mara vyuo vikuu kuangalia elimu inayotolewa huko, Kwani kuna baadhi ya vyuo vikuu hapa nchini elimu itolewayo ni sawa na mtu kwenda...
0 Reactions
3 Replies
900 Views
Tembelea website ya necta kwa more information. Plz msije jinyonge kama walio jinyonga baada ya matokeo ya form four. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu naomba msaada tafadhali mimi nimhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012. Nimebahatika kupata division 2. Ninapendelea kusoma comb ya pgm, shule gani ya serikali naweza kupangiwa, au hakuna...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Salamu wanajamvi, Poleni na mishe za wiki zima na Longolongo za mjengoni:kev:, Nimekaa nimetafakari hatua ya baraza Kurisiti na kutoa matokeo mapya , Kimsingi sijaona tija zaidi ya kutabiri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu nina mdogo wanngu anataka kusoma nursing chuo cha private ana BIOS-D MATH-D CIV-D KISWA-D na mengine ni F.....Kama inawezekana chuo gani?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
BOFYA NA UPATE MATOKEO KAMILI.. http://www.necta.go.tz/matokeo_html_2013/ACSEE_2013/alevel.htm AU http://www.necta.go.tz/matokeo_html_2013/ACSEE_2013/alevel.htm Nawatakia matokeo mema.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
salut wana Jf, Necta mda leo tarehe 31/5/2013 imetoa matokeo ya kidato cha sita 2013, Bonyeza kwenye link hii kuingia kwenye website yao The National Examinations Council of Tanzania
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…