naombeni mnisaidie jinsi ya kupata password ya ku log in kwenye system ya CAS.Nimejiregister tayari nimekwama jinsi ya kuendelea coz kila ninapo sign in naambiwa nakosea password na wakati...
Ubovu wa matokeo ya kidato cha nne kwa miaka mitatu mfululizo umechangiwa kwa kiasi kikubwa na UWEPO WA SHULE ZA KATA,ambazo kimsingi zina mapungufu mengi sana ikiwemo walimu,vitabu na kukosekana...
HakiElimu YAKATAA KUFUTA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE.
SERIKALI imetakiwa kuacha kukurupuka kufuta matokeo ya kidato cha nne mwaka 2012 kutokana na sababu za msingi za kufeli kwa wanafunzi hao...
Nime jiunga na mwana jamiiforum, naombeni mnipoke katika jukwaa hili la "Elimu". Nime waletea tangazo hilo mlisome lipo kwa faida yetu sote:
MUST COLLEGE ni chuo kipya kinatoa Certificate ya...
Hello Jf members
ninajambo linanitatiza nataka ku join open university of Tanzania mwaka huu kwa masomo ya shahada (degree) nishaurini kuhusu faida na hasara kabla sijafanya uamuzi huo!
NB:Your...
Mihtasari ya elimu na kufeli kwa wanafunzi mwaka 2012 Tanzania
Watu katika makundi mengi Tanzania wamezungumza sana na kwa kipindi kirefu sasa, kuhusu kila wanachokiita kushuka kwa elimu...
Hi jf, je ntapat mkopo ktk heslb kwa point hizi? H=F, K=D, L=D. dv iii=15. Pia nmehitimu 4m6 mwaka 2010 nina diploma ya elimu nataka kujoin degree. Plz nijibu accordng to ur education point of view.
wakuu kwema jamani.
naombeni msaada wenu wa kimawazo.
nataka kusoma kozi ya stashahada ya Uzamili katika fani ya Ununuzi na Ugavi (POST GRADUATE DIPLOMA IN PROCUREMENT AND SUPPLY CHAIN...
Chuo cha kampala kimepunguza ada zake kwa kiwango kikibwa mno kuzidi ata vyuo vingine vya serikali. Habari nilizopewa na mwanafunzi mmoja wa chuo icho amesema sasa atalipa sh laki 4 za Kitanzania...
For the past 10 years, Tanzania has been proudly announcing promising growthfigures released by the World Bank and International Monetary Fund.Statistics show that Tanzania's economy has been...
Taarifa ya kamati ya Pinda kuhusu mtihani wa kidato cha nne,ilitakiwa kusomwa na mwenyekiti wa tume au na Lukuvi,kwa sababu bila kukosea mwenyekiti wa tume hiyo ni Profesa Sifuni Mchome. Naomba...
KAMA BAADHI YA WATU WANGEULIWA NA TAIFA WAKATI WA UTOTO WAO INGEWEZEKANA TUSINGEKUWA NA WEZI NA MAFISADI NA WAARIBIFU WA NCHI SASA.unaweza kuzani ni upuuzi LAKINI MWANAFALSAFA ARISTOTLE ALIUTETEA...
Habari wana jamii,
naombeni mniambie hivi mtu anaruhusiwa kujiunga na open university kama ndo ana mwaka mmoja kazini? alihitimu dip ya ualimu mwaka jana now ameajiliwa.
Kutokana na kashfa mbaya ya kulaumiwa kwa matokeo ya CSEE kuwa mabaya hapo awali,ikapelekea kufutwa na kupangwa upya kufuata vigezo vya mwaka 2011 kwa walio kuwa candidates.
Ni tetesi kuwa...
Watumishi wa wilaya ya mbulu wanalalamika sana kutokana na kucheleweshewa mishahara yao/marupurupu yao kwani ndo wilaya ya mwisho kabisa!! Katika wailaya hii watumishi mpaka sasa mshahara wa mwezi...
Kama kuna mtu anayejua mahali shule hizi zilipo anielekeze
1.KIBUGUMO SECONDARY-Inapatikana TEMEKE
2.MAKURUMLA SECONDARY-Inapatikana KINONDONI
Naomba nijulishwe exactly location yake zilipo na...