Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Mimi ninaishi mikocheni A nina mdogo wangu anasoma IAA sasa wamesema waende kwa mkuu wa wilaya.... Sasa process mpaka kufika huko sizijui maana hata mtendaji simfahamu... Kuna mtu anaweza kunidokeza
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Baraza la Mitihani la Taifa-NECTA ambaye pia ni Makamu Mkuuwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Prof.Rwekaza Sympho Mukandala amesema hayuko tayari kubadili matokeo ya Kidato cha Nne...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Nasikitishwa sana na wizara ya elimu kutaka kuboresha matokeo ya kidato cha nne "kwa kujali mahitaji bila kujali ubora wa elimu yenyewe" Nasema haya kwa sababu zifuatazo 1. Tume...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tafadhari wana JF, naomba kwa mwenye file la SPSS (downloaded) aniwekee hapa! litawasaidia na wengine humu! Thanks
0 Reactions
2 Replies
927 Views
Be informed that short course in Hypothesis Testing will be conducted this weekend. Please find the attached advertisement.
0 Reactions
0 Replies
686 Views
7
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Niliwahi kusoma humu humu kuwa udsm tangu kitivo cha sheria kianzishwe hakuna first class zaidi ya mama Migiro. Mutula kilonzo alimaliza udsm na kupata first class Dr Ringo Tenga nae alipata...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Mount Meru Unversity wametoa post za stashahada? Wap nipate orodha ya majina hayo?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilazima tukubali kuwa, mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi yaliyotukuta katika nchi zetu za dunia ya tatu, yamebadilisha mfumo wetu wa elimu. Hii ni kutokana na kile ambacho kilitokea miaka ya...
0 Reactions
0 Replies
923 Views
Naanza kufanya utafiti juu ya suala la mitaala rasmi Kutokana na sakata lililoibuliwa na Mh. James Mbatia (Mb) kuhusiana na suala la mitaala (Kama Tanzania kuna mitaala rasmi au la) nimeamua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cbg
Wakuu naomba mnijuze eti kwa mchepuo wa CBG naweza kusomea medicine au udaktari wa binadamu chuo hapo baadae mungu akiweka uhai. (NAOMBA MNIJUZE WAKUU)
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanajukwaa, kwa yeyote anayeifaham vizuri hii career naomba atoe msaada katika area ya Project monitoring & Evaluation. Ni pm then we can initiate there our communication.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nina interest ya kujiendeleza zaidi ktk mambo ya diplomasia ya uchumi, nina masters ya biashara, Ninaomba kwa anayefahamu ada kwa post graduate diploma ni shilingi ngapi anisaidie kwani...
0 Reactions
0 Replies
8K Views
JAMHURI YA MUUNGANO WATANZANIA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UFAFANUZI KUHUSU KUPITIWA UPYA KWA MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE MWAKA 2012 Mnamo tarehe...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
wana JF naombeni mni karibishe humu ndani
0 Reactions
0 Replies
572 Views
mke wangu yuko mtwara kwa mwl wa kanda yeyote ile tuwasiliane ila isiwe kigoma au musoma.
0 Reactions
0 Replies
998 Views
mi nina mpango wa kwenda kusoma hii mambo pamoja na tally lakini sina clue yoyote juu ya gharama mwenye kujua anambie pliz
0 Reactions
1 Replies
2K Views
This was on EA newspaper on Feb 27, 2013 but it worth posting it now! Link: Falling education Standards in Tanzania
0 Reactions
0 Replies
826 Views
WAREMBO watatu wanaodaiwa kuwa ni madenti wa chuo kikuu kimoja jijini Dar, waliojitambulisha kwa jina mojamoja, Rachel, Neema na Suzan, wamekumbana na balaa zito baada ya kupokea kibano cha...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Ukweli ni kwamba nyoka mwenye vichwa viwili yupo, lakini ni wachache sana. Hawa nyoka ni kama mapacha walioungana au unaweza kusema kuwa ni nyoka mmoja mzima lakini ana vichwa viwili vilivyokaa...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…