Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

uchaguzi wa viongozi wa DARUSO (dar es salaam university student organization) umekamilika na bwana KISANGO kuchaguliwa kwa kura kati ya 2000 na 2500 ila wanafunzi wote wapo karibu 19000. naomba...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wana jf habar zenu! natumai wote mko good. Wakuu nimetupia thread hii kutokana na utata uliotokea sekta hii ya elimu. Hii imekuwa booring kwa kuwa proces mbali mbali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Elimu ya Tanzania imegubikwa na ubabaishaji mwingi hasa inapofikia wakati wa kutangaza matokeo, hadi leo hii tar4 matokeo ya kidato cha sita hayajatangazwa na hakuna ajue yatatangazwa lini licha...
0 Reactions
4 Replies
950 Views
Habari Zenu wadau Naomba msaada Je unaweza pata Nafasi ya JKT ukiwa na Elimu ya cheti chochote kwa Mfano Sheria au ,IT kwa sababu kuna mapumziko ya Miezi 4 kabla ya kujiunga na Diploma na je...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
National Examination Council of Tanzania (N.E.C.T.A) MATOKEO KIDATO CHA NNE KUPANGWA UPYA Serikali imetangaza uamuzi wa kupanga upya matokeo ya kidato cha nne ya 2012. Uamuzi huo umetangazwa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau! Najiuliza hapa pamoja na utajiri tulionao Tanzania kuanzia MADINI, GESI, MALIASILI (Mbuga za Wanyama, Mlima Kilimanjaro na vitu vingine vya kuvutia duniani, mf. Zanzibar) kama kweli Elimu...
0 Reactions
0 Replies
693 Views
Wakuu nafkiru mko good. Wana jf nimetupua thred hii kutokana na influence ya shukrani nyingi kitaa wake waliopoteza matumaini ya advance wanamshukuru sana waziri na tume...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu wanajukwaa, Naomba kwa ufupi sana nibainishe sababu kadhaa zinazochangia kushukaa kwa kiwango cha elimu katika mkoa wa Tabora,kwanza mazingira magumu kutokana na jiografia ya mkoa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Samahan wadau habar znu? Naomben kujua kuhusu comb mpya ya CBM iloanzshwa ivi karbun, ukiisoma A'level chuoni waweza kusomea coz gan hasa? Nataman sana kuisoma hii coz naihofia sana phy
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Walipo feli mlisema,serikari ina tupeleka wap?haya wamerudia kusahihisha bado mnasema tu, hivi nyinyi wabongo hamuishiwi maneno? Kaeni kimya tusikilize jinsi itakavyo kua maana hata wakirekebisha...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna uvmi kwamba matokeo ya kidato cha nne mwaka 2012 yaani wale waliovunja record ya kufeli hayaonekani mtandaoni.Sasa ni vizuri kuhakiki wao wenyewecoz imesababisha matatizo mtaani kwetu.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Applications are invited from qualified Tanzanians for Undergraduate and Doctorate degree scholarships tenable in The Russian Federation for the year 2013/2014. The medium of instruction is Russia...
0 Reactions
1 Replies
848 Views
Matokeo ya form four kupangwa upya na kufanyiwa standardisation, kutokana na necta kutumia mfumo mpya ambao hawakuufanyia utafiti; tusaidiane jamani ,sasa jamani hivi haya matokeo yanapangwa upya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi hao waliokufa kwa sababu ya haya matokeo,wakat ukwel kwa mujibu wa tume ni kwamba baraza ndilo lilo kosea! Hivi hizo familia za walengwa watajisikia vipi? Uhai wao nani anahusika?
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Habari wadau wa Elimu! Tangu siku ya leo ianze moja ya habari zilizoenea mtaani ni kuhusu ufutwaji wa matokeo ya kidato cha nne 2012 ambayo tume iliyoundwa na Waziri mkuu kubaini sababu za kufeli...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau wa Jf naombeni ushauri.Mimi ni Mwalimu katika Halmashauri ya Wilaya ya SHINYANGA VIJIJINI.Nilipandishwa daraja/cheo tangu mwezi November,2011.Lakini mpaka sasa sijabadilishiwa mshara,si mimi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba matokeo ya kidato cha nne 2009 mkonge sec school/jafari halfani
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Naomba nianze na msemo unaotokana na tajiriba zetu.ukiona elimu ghali jaribu ujinga.nimeamua kusema hivi kutokana na kitendo cha wizara ya elimu kushindwa kufuata utaratibu uliokuwa ukitumika siku...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu, nasikia matokeo kidato cha nne 2012 kusahishwa upya, je ni kwa school canditates tu au adi ya private canditates?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
100-80 A, 79-65 B, 64-59 C, 58-45 D, 44-00 F Chanzo Necta
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…