Chuo cha Tandabui Institute of Health Science and Technology kimetangaza nafasi ya kozi za medical assistant na health records. Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti yao www.tihest.org
Habari zen wana jf, Nimehitimu kidato cha sita mwaka huu,na iwapo nitafaulu ningependa kusoma kati ya hizo course je ni ipi nzuri kwa upatikanaji wa ajira na mshahara mzuri? Ushauri tafadhari!
Tanzania Commission for Universities (TCU)
Source: Home - Tanzania Commission for Universities
The Universities Act 2005, gives the Tanzania Commission for Universities (TCU) mandate to perform...
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2013. Nimesoma HKL na ninategemea kupata B ya history, B ya kiswahili, na B ya language. Hivyo naomba ushauri wa faculty gani nzuri ya kusoma chuo ambayo...
Katika kupiga stori huku mtaani nimekutana na hii.
Kuna jamaa mmoja alihitimu shahada ya kwanza ya Utalii (Cultural Anthropology and Tourism ) hapo Tumaini - Iringa mwaka 2008. Jamaa huyo anajuta...
Jamani Tz naomba elimu kiduchu! Kuna ugomvi wa jamaa wanaotaka kuwashiwa mitambo ya analogia lakini wawashaji hawataki. Swali: Hivi kuwasha mitambo ya analogia kuna gharama yeyote mpaka kuzue...
Imetokea UDOM college ya Humanities and Social science, Kuna wanafunzi wengi kwani first year pekee wapo Kama 1200 bado second na third year, lkn cha ajabu imetangazwa seminar presentation ambayo...
Nina swali dogo kwa walimu wenzangu Tanzania. Hivi inakuwaje wengi hampendi kutambulika kama walimu? Utamwona mwalimu ameandika kwenye profaili yake ya Facebook kuwa yeye ni Education Officer...
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Majani ya Chai, Yasinta Assey akionyesha baadhi ya nguo na viatu vya wanafunzi vilivyokutwa katika eneo linalodaiwa kuwa danguro linalotumiwa na wanafunzi wa shule...
Habari wana jf,kuna kozi mpya ya masters imeanzishwa mwaka huu 2013/2014 pale mzumbe university,je kwa mtu ambae ana bachelor of arts with education{BA.ED} anaweza kusoma hiyo kozi ya masterz...
Wadau naomba kufahamishwa na m2 yeyote kama ana taarifa yoyote kuhusiana na kazi ya muda inayohusiana na shahada ya jinsia na maendeleo (Bachelor Degree In Gender and Developnment) naomba...
nina mdogo wangu tulikuwa tunamwambie apige kitabu akawa analeta mzaa alipata 4 ya 29 mwaka 2010 familia ilishauliana la kufanya na tukakubaliana dogo akapige A level uganda dogo amemaliza na...