\
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitangaza Tume ya Taifa ya kuchunguza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2012 Dar es Salaam jana. (Picha na Yusuf Badi).
WAKATI Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka...
Kuna tofauti kubwa sana kati ya threads zinazokuwa posted kwenye jukwaa la elimu na mantiki nzima ya neno ELIMU kama wadau hamuamini jaribuni kupitia mada nyingi na nyinyi mtakuwa ni mashahidi wangu.
Necta wametangaza matokeo..jamani watu wamefeli sana, hiki kizazi sijui kinaelekea wapi..hali ni tete!
Hongera kwa waliofaulu, waliofeli ni wao kujipanga sana.
Kwa mujibu wa habari hii chini...
Nimekua nafuatilia mwenendo wa shule hizi za sekondari hasa za kata utendaji wake si mzuri kwakuwa maamuzi mengi hutegemea utashi wa madiwani na watendaji wa vijiji au kata. Nashauri idara hii...
Please Click here to enter our website for details Rise Study Advisors- MBBS and Engineering in China
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China...
Leo ndo siku muafaka kwa kujua kua una supu ngapi,misonge mingapi ama makarai flat.Ni kuomba isije ikawa kama form4.Utakachopata ndo haki yako wala usapeal au mnasemaje wadau
Wakuu naomba kuuliza chuo kipi bora cha afya hapa nchini kwetu Tanzania? Naomba mnijuze ili mtoto wenu na mdogo wenu niweze kukijua ili nijipange mapemaaaaaa! Naombeni msaada wenu wakuu
mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato nne mwaka 2012, nikafanya mtihani na kufanikiwa kupata matokeo haya hapa
Civ-D Kisw-C Geo-D Eng-D lit eng-D Hist-C Bios-C Phy-D Chem-D Math-F...
Wanajamii kwanza ikumbukwe kuwa nami ni muhanga, kwani iliniuma sana baada ya kumaliza shule, mambo yalikuwa magumu. Nikafikiria hii siyo fair! Haiwezekani nisome 4 years then hukumu iwe masaa 3...
Wadau heshima kwenu. Nimekuwa nikitamani sana kuwa kiongozi kwenye sekta ya elimu ili niboreshe taaluma kwa vipaji na vipawa nilivyojaliwa na mwenyezi Mungu. Kwa muda mchache ambao nimekuwa kazini...
Habar wakuu,
Kila nikikaa huwa nazikumbuka sana shule nilizosoma mojawapo ni Pugu sec school,iliyoko jijin Dar ila nje kidogo baada ya kupita Jk Nyerere airport na pia Gongo la mboto,
nilifanikiwa...
Mara kwa mara nimekuwa nikisikia watu wenye elimu mpaka hata degree holders wakisema kwa mfano: "fulani ni Lecture wa chuo kikuu" au "yule dada amesoma B.Sc. Forest" au "yule kaka ni...