IFUATAYO NI ORODHA YA WALIMU WAPYA WALIOOMBA KUBADILISHWA VITUO VYA KAZI NA KUFANIKIWA KUBADILISHWA. KWA TAARIFA ZAIDI PAKUA AMBATISHO........
Document : kubadilishiwa vituo-final.pdf
Kusema kweli hizi seminari zimenivutia kwa muda mrefu sana. Binafsi nilibahatika kusoma katika mojawapo ya seminari hizo.
Kinachonivutia zaidi pamoja na mengine ni namna zilivyoweza kufanya...
Serikali imemvua ukuu wa chuo Mkuu wa chuo cha ualimu Korogwe Bw. Mwiga pamoja na makamo wake. Hii ni kutokana na ubadhilifu wa mali ya umma. Mkuu huyo amekuwa akilalamikiwa na watumishi wa chuo...
A formula for self-improvement is to first decide specifically what particular characteristics you desire to possess and then hold that image firmly in consciousness.
Second, develop that image...
jamani naombeni tushauriane wapi nimpeleke wapi huyu dogo mwenye marks zifuatazo maana baba yake amemsusa nataka nivae mabomu ya kumsaidia kumpeleka certificates kwenye chuo chochote cha uuguzi au...
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa walimu kunyanyaswa kwa namna mbalimbali hapa nchini. TAZAMA HII:
Mimi ni mwalimu ninayefundisha katika shule ya msingi katika halmashauri ya wilaya ya Masasi...
SIASA NA ELIMU
Serikali yetu kwa muda mrefu imeiingiza Elimu katika siasa tasa ya Tanzania na kuuwa viwango tangu mwaka 1967. Na kuna lengo zima kwa Serikali kuisiasisha mno Elimu. Lengo lao ni...
naomba kuulizia na kujuzwa juu ya jambo hili la wanafunzi wa kidato cha nne wa mwaka 2012 ambao wamepata zero
kwa kipindi cha matokeo yalivyotoka nikasikia kuna tetesi za kwamba watatakiwa...
wanafunzi wa chuo cha sayansi na tiba KCMC kwa kozi za nesing na maabara wamefutiwa mkopo takribani nusu ya ada yote inayotakiwa kulipwa chuoni hapa yani ipo hivi kwa wanafunzi wa mwaka wa pili...
Please Click here to enter our website for details Rise Study Advisors- MBBS and Engineering in China
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China...
kuna dogo langu limepata
phy-c
chem-c
math-c
bio-b
eng-c
kisw-D
civics-c
computer-c
geo-c
yeye amechagua PCM ya kwanza,lakin Biology ana B je wanaweza kumpanga PCB
Dear Intellectuals
It's my moral responsibility to share with you the life changing lessons on the Parable of Pipeline. Hope you will find it useful and take required action as far as...
anahitajika mwalimu wa shahada, alie tayari kuja wilaya ya rungwe-mbeya,toka Morogoro-mvomero!!
asiwe wa ajira mpya, tuwasiliane kwa 0753210877
ASANTE!!